Sunday, January 18, 2015

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA YAFANA WILAYA YA DIMANI MKOA WA MAGHARIBI.


  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Idd mara baada ya kumaliza kikao cha halmashauri kuu ya wilaya ya Dimani.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongea na Viongozi,Walimu na wanafunzi wa chuo cha Sayansi ya Bahari kilichopo Shakani ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani Magharibi ,Zanzibar.
 Mlezi wa CCM mkoa wa Magharibi ambaye pia ni Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Idd akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya ya Dimani jimbo la Kiembesamaki.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyeka majani mbele ya Chuo cha Sayansi ya Bahari (IMS), alipotembelea chuo hicho kilicho chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam eneo la Buyu, Unguja Zanzibar leo wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi ili zipatiwe ufumbuzi. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
 Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ukielekea katika jimbo la Fuoni kushiriki upandaji wa mikoko katika hifadhi ya Baahari,kaa na ufugaji nyuki  katika eneo la Fuoni Bondeni.
 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akisalimia na Wananchi na wanachama wa CCM mara baada kuwasili jimbo la Fuoni na kushiriki upandaji wa mikoko katika hifadhi ya Bahari,kaa na ufugaji nyuki  katika eneo la Fuoni Bondeni.
 Katibu Mkuu wa CCM akioneshwa mbegu ya Mkoko ambayo ikioteshwa ndio huto miche na kupandwa katika hifadhi ya Mikoko huko Fuoni Bondeni.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuweka kaa kama ishara ya kutunza viumbe hao.
 Baadhi ya akina mama wa Fuoni waliojitokeza kumpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana jioni ya leo,alipokwenda kushiriki upandaji wa mikoko katika hifadhi ya Bahari,kaa na ufugaji nyuki  kwenye eneo la Fuoni Bondeni.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wana CCM wa Tawi la Kijito Upele jimbo la Fuoni.
 Balozi Ali Abeid Aman Karume akiwahutubia wananchi wa pamoja na Wanachama wa CCM,kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika uwanja wa Magereza Tomondo,Wilaya ya Dimani mkoa wa Magharibi mjini Unguja.
Ali Aman Abeid Karume akihutubia katika mkutano wa hadhara ambapo aliwashauri wazanzibar kumomba Ali Mohamed Shein kugombea tena urais wa Zanzibar kwa vile katika kipindi cha uongozi wake amefanya makubwa

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Ali Aman Abeid Karume akihutubia katika mkutano wa hadhara ambapo aliwashauri wazanzibar kumomba Ali Mohamed Shein kugombea tena urais wa Zanzibar kwa vile katika kipindi cha uongozi wake amefanya makubwa

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Wananchi pamoja na Wanachama wa CCM,wakishangilia jambo katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo kwenye uwanja wa Magereza Tomondo,Wilaya ya Dimani mkoa wa Magharibi mjini Unguja.
 Shamsi Vuai Nahodha akiwahutubia wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Magereza Tomondo kuja kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Waziri Kiongozi mstaafu wa Zanzibar, Ali Vuai Nahodha akihutubia katika mkutano huo wa hadhara.

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Waziri Kiongozi mstaafu wa Zanzibar, Ali Vuai Nahodha akihutubia katika mkutano huo wa hadhara.

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Waziri Kiongozi mstaafu wa Zanzibar, Ali Vuai Nahodha akihutubia katika mkutano huo wa hadhara.

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
 Sehemu ya umati wa watu waliofka kwenye mkutano huo.
   Katibu wa NEC Itikadi Na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa wilaya ya Dimani mkoa wa Magharibi ambapo aliwaeleza hesabu na sayansi ya kisiasa imewamaliza wapinzani hivyo CCM itashinda uchaguzi ujao.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Dimani mkoa wa Magharibi Zanzibara na kuataka wana CCM kushikamana huku akiwaambia vijana kuwa wasiwewanyonge katika kukitetea chama chao.
  Mamia ya watu wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM kwenye viwanja vya Magereza ,Tomondo wilaya ya Dimani mkoa wa Magharibi Zanzibar.
 Baadhi ya Wanahabari wakiwa kazini n Kalamu zao.
 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mara baada ya kupokea taarifa ya kazi za chama na jumuiya zake ngazi ya mkoa na wilaya pamoja na taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2010-2015.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Meneja Uzalishaji  Ndugu Kirtikumar B.Dave juu ya  maziwa yanayotengenezwa katika Kiwanda kipya cha Azam Dairy Products Limited kilichopo  Fumba, Unguja Zanzibar.
 katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana na ujumbe wake wakiwa wakielekea kukagua na kupata maelezo juu ya ujenzi wa Chuo cha sayansi ya Bahari na kutoa nasaha kwa chuo hicho.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiteta jambo na Profesa David Mfinanga Naibu Makamu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana (wa pili kulia) pamoja na viongozi wengine wakishiriki kufyeka majani mbele ya chuo cha Sayansi ya Bahari,Shakani Wilaya ya Dimani mkoani wa Magharibi,Unguja.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinanan akizungumza na wananchi wa Fuoni Kibondeni ambapo aliwasisitiza waendelee kutunza mazingira kwani mazingira ni muhimu kwa maisha ya kila siku ya wanaadamu.
 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akikata utepe kuzindua rasmi gari la wagonjwa lililotolewa na Mbunge wa jimbo la Fuoni kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa katika jimbo hilo.
 Mamia ya watu wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM kwenye viwanja vya Magereza ,Tomondo wilaya ya Dimani mkoa wa Magharibi Zanzibar.

No comments: