Vijana na wazee wa kiIslamu wa MwembeTanga wamefanikisha kuadhimisha Maulid ya Mtume Muhammad Salallahu alayhi wasalam, yaliosomwa Siku ya Jumanne Jan 13 ,2015 sawa na Rabii Awal 1436
Maulidi hayo walioaza rami mida ya Saa tatu usiku maraa tu baada kusaliwa sala ya Ishaa, katika Mtaa wa Mwembetanga maarufu (Kwa Karagosi) Zanzibar ambapo Wazee na vijana hao huuandaa maulidi kila mwaka, ifikapo mwezi wa kuzaliwa Mtume Muhammed S.A.W
Mapambo ya jukwaa: Maandalizi ya jukwaa maalumu kwaajili ya KUMSIFU na kumsalia MTUME Muhammed S.A.W katika Maulidi ya Mfungo Sita yaliofanyika rasmi mtaa wa M/Tanga Siku ya Jumanne Jan 13, 2015 sawa Rabii Awal 1436 (Picha na Mussa Yussuf)
Wanafunzi wa Madrasa Ya Sharif Aboud kutoka vikokotoni wakisoma kasida za Kumsifu Mtume Muhammed S.A.W katika Maulidi ya Mfungo Sita yaliofanyika rasmi mtaa wa M/Tanga
Muongozaji Maulidi ya Mwembetanga kwa karagosi MC Imam Sadat Fadhil Abdullah akiongea Mipangilio ya maulid kwa ratiba maalumu iliopangwa na wana kamati Ya maandalizi ya Maulidi hayo.
Wazee wa mtaa wa M/Tanga Hajji AbdulAziz akiea na Sheik Ahmed wakiwa makini kusikiliza maulid ya Mtume Muhammad Salallahu alayhi wasalam, yalioandaliwa na vijana pamoja na wazee wawa M/Tanga Siku ya Jumatatu Jan 13, 2014 Zanzibar.
Maalim: Dr. Muhidin Siasa (kulia) na mwazake wakisikiliza Mtume Muhammad Salallahu alayhi yaliofanyika rasmi mtaa wa M/Tanga Siku ya Jumanne Jan 13, 2015 sawa Rabii Awal 1436
Maulidi ya kizidi kuendelea na ustadhi Kombo Muhammed akisoma mlango wa pili wa Mualidi Ya Mtume Muhammed s.a.w Yalioandaliwa Rasmi na Wazee pamoja na vijana wa M/Tanga, Zanzibar
Waumini wa kiIslamu kutoka maeneo mbali mbali wakiwa katika maulid ya Mtume Muhammad Salallahu alayhi wasalam, yalioandaliwa na vijana pamoja na wazee wawa M/Tanga Siku ya Jumatatu Jan 13, 2014 Zanzibar
Waandaaji wa maulid hayo Imam Sadat akipata picha ya pamoja na Hudheif A Shatry katika maulidi Ya mfungo sitta yaliofanyika Siku ya Jumatatu Jan 13, 2014 Zanzibar katika Mtaa wa M/Tanga Zanzibar
Waumini wa kiIslamu kutoka maeneo mbali mbali wakiwa katika maulid ya Mtume Muhammad Salallahu alayhi wasalam, yalioandaliwa na vijana pamoja na wazee wawa M/Tanga Siku ya Jumatatu Jan 13, 2014 Zanzibar.
Waalikwa wageni mbalimbali wakisikiliza Maulidi ya mfungu sita Mwembetanga
Maulidi yaaza rasmi kwa kasida ilivyokuwa ikisomwa na wanafunzi wa Madrasa Ya Sharif Aboud Vikokotoni kutoka.
Maalim: Dr. Muhidin Siasa akiongea neno kuhusu Maulid ya Mtume Muhammad Salallahu alayhi yaliofanyika rasmi mtaa wa M/Tanga Siku ya Jumanne Jan 13, 2015 sawa Rabii Awal 1436
Maalim Abuu akihitimisha Dua ya Maulidi ya Mtume Muhammad Salallahu alayhi wasalam, yalioandaliwa na vijana pamoja na wazee wawa M/Tanga Siku ya Jumatatu Jan 13, 2014 Zanzibar
Mmoja kati ya wanakamati ya maandalizi ya Maulidi Mussa Yussuf Mussa akiwa katika usimamizi wa kuweka mambo sawa katika kusimamia maulidi.
Maalim Afrif Abdallah Shatry akiwa katika usimamizi wa maulidi
Mwanakamati ya maandalizi ya Maulidi Masoud Masoud akiwa katika usimamizi wa kuweka mambo sawa katika kusimamia Maulid ya Mtume Muhammad Salallahu alayhi wasalam, yaliosomwa Siku ya Jumanne Jan 13 ,2015 sawa na mwezi 11 Rabii Awal 1436
Kijana Muhammed Hassan akipata picha ya pikee katika maulid ya Mtume Muhammad Salallahu alayhi wasalam, yalioandaliwa na vijana pamoja na wazee wawa M/Tanga Siku ya Jumatatu Jan 13, 2014 Zanzibar.
No comments:
Post a Comment