Thursday, January 15, 2015

KAMATI YA PAC YAENDELEA NA KAZI YAKE LEO JIJINI DAR

katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akifafanua jambo mbele ya kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati wa vikao vya kamati za Bunge vinavyoendelea katika Ofisi za Bunge jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchuguzi Monica Mwamunyange (katikati) akiwa na baadhi ya Watendaji wa Wizara hiyo pamoja na Maafisa kutoka Mamlaka ya bandari (TPA) mbele ya kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati wa kikao cha kujadili taarifa ya Ukaguzi Maalum wa matumizi ya fedha za mamlaka hiyo kwa mwaka 2011/2012
Mjumbe wa kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Abdul Jabir Marombwa akikisitiza jambo wakati wa kikao cha kamati hiyo kujadili taarifa ya Ukaguzi Maalum wa matumizi ya fedha za Mamlaka ya Bandari kwa mwaka 2011/2012.
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Bandari (TPA) Prof. Joseph Msambichaka akifafanua baadhi ya hoja mbele ya kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati wa kikao cha kujadili taarifa ya Ukaguzi Maalum wa matumizi ya fedha za Mamlaka hiyo kwa mwaka 2011/2012.
Mwenyekiti wa kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe akiongoza kikao cha Kamati hiyo wakati wa kikao cha kujadili taarifa ya Ukaguzi Maalum wa matumizi ya fedha za Mamlaka ya Bandari kwa mwaka 2011/2012.
Mjumbe wa kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Ismail Aden Rage akifafanua jambo wakati wa kikao cha kamati hiyo kujadili taarifa ya Ukaguzi Maalum wa matumizi ya fedha za Mamlaka ya Bandari kwa mwaka 2011/2012.
Wajumbe wa LAAC wakiwa katika vikao vya kamati hiyo.
Mwenyekiti wa kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe akitoa maelekezo ya Kamati yake kwa ujumbe wa Mamlaka ya Bandari mara baada ya kujadili taarifa ya Ukaguzi Maalum wa matumizi ya fedha za Mamlaka ya Bandari kwa mwaka 2011/2012
Mwenyekiti wa kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe (Kulia) akimsikiliza kwa makini mjumbe wa kamati hiyo Mhe. Ismail Aden Rage wakati kamati hiyo ilipokutana na Mamlaka ya bandari (TPA) kujadili taarifa ya Ukaguzi Maalum wa matumizi ya fedha za Mamlaka hiyo kwa mwaka 2011/2012. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa PAC Mhe. Deo Filikunjombe.
Mwenyekiti wa kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe akifafanua jambo mbele ya kamati yake pamoja na ujumbe kutoka Wizara ya Uchukuzi pamoja na Mamlaka ya Bandari wakati wa kikao cha Kamati hiyo killichokuwa kinajadili taarifa ya Ukaguzi Maalum uliofanywa na CAG wa matumizi ya fedha za Mamlaka ya Bandari kwa mwaka 2011/2012.

No comments: