Tuesday, January 6, 2015

BALOZI SEIF IDDI AFUNGUA RASMI SKULI YA SECONDARY YA FARAJA ZANZIBAR

Jengo la Skuli ya Secondary ya Faraja lililofunguliwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi kushoto akisalimiana na Muwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan katika ufunguzi wa Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akikunjuwa Kitambaa ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akitembelea maeneo mbali mbali ya Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar baada ya kuifungua rasmi ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya Walimu na wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Wanafunzi wa Madrasa ya Kamaria wakileta burudani ya Kasida katika ufunguzi wa Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna akitoa maelezo kuhusiana na Skuli ya Secondary ya Faraja iliofunguliwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments: