Friday, December 5, 2014

WASHINDI WA MASHINDANO YA DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP 2014 WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO.

Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM akizungumza jambo wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi mbalimbali wa mashindano ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 
Bwana Novatus Damiani ambaye ni kiongozi wa timu ya Abajalo iliyotwaa ubingwa wa michuano ya  Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 akipokea pesa taslimu shilingi milioni tano kutoka kwa Bi. Fatma Likwata ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm na Tv akimwakilisha Dr Mwaka.

 Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM (Sports Extra) na Clouds TV (Sports Bar) akimkabidhi zawadi ya shillingi laki tano bwana Omary Hamis ambaye alitwaa tuzo ya gori kipa bora wa mashindano ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 
  Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM (Sports Extra) na Clouds TV (Sports Bar) akimkabidhi zawadi ya laki tanomchezeshaji mzuri(refaree)  wa mashindano ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 
 Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM (Sports Extra) na Clouds TV (Sports Bar) akimkabidhi zawadi ya shilingi laki tano Bwana Suleiman Buji ambaye alitwaa tuzo ya mchezeji bora  wa mashindano ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 
  Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM (Sports Extra) na Clouds TV (Sports Bar) akimkabidhi zawadi ya shilingi laki tano Bwana Ally Mango  ambao walitwaa tuzo ya kikundi bora kilichotoa burudani kwenye mashindano ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 .
Viongozi wa timu ya Burudani FC Bwana Hamad Mussa Chema(katikati) akiwa na mzee wa toroka Uje(wa kwanza kushoto) wakionesha kiasi cha shilingi milioni mbili walizokabidhiwa na Shaffih Dauda  kwa niamba ya Dr Mwaka baada ya timu ya Burudani FC kuibuka washindi wa tatu wa mashindano ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 
 Bwana Rogers Peter akionesha kitita cha shilingi milioni tatu alichokabidhiwa na mbili walizokabidhiwa na Shaffih Dauda  kwa niamba ya Dr Mwaka baada ya ya Tabata Fc kuibuka washindi wa pili wa mashindano ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 
Baadhi ya wadau waliofika kwenye tukio hil

No comments: