Thursday, December 18, 2014

wapiganaji wa gazeti la mwananchi MacNamara na Ester wameremeta mji kasoro bahari

Waandishi wa Gazeti za Mwananchi MacNamara Ng'ambi na Bi Ester Mwimbura kufunga pingu za maisha katika kanisa la Anglikana lililopo pande za Kihonda, Morogoro










  Paparazi wa Mtandao wa Global Publisher Dustan Shekidele akiwa kazini kwenye haursi hiyo.
            Wakikata kike yao ya harusi

 Bi,Harusi akipeleka zawadi kwa wakwe zake kwa staili ya kupiga magoti

 Kipengele kilichokuwa kikisubiriwa na wengi'Menyu'
           



 Waandishi wa habari wakiongozwa na Ramadhani Libenanga'Kutty Fella'mwenye shati la Mistari  kulisakata Twisti.
 Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi Lilian Lucas'Kasenene'akiwasilisha zawadi yake ya waksi
 Mstahiki Meya wa Mji wa Morogoro Mhe Amir Juma Nondo akiwapa mkono wa pongeza maharusi hao.
 Wakiga baada ya kukamilika kwa harusi hiyo
 Mwandishi wa habari Gazeti la Nipashe Ashtoni Balaingwa na mkewe ndio waliobeba jukumu la kuwasimamia maharusi hao kwenye ndoa yao.

Baada ya kufunga ndoa hiyo mpango mzima ulihamia ndani ya Ukumbi wa Mambo klabu kwenye mnuso wa  kufa mtu kwa Mstahiki Meya wa Mji wa Morogoro  Mhe Amir Juma Nondo kuwaongoza wageni waalikwa wengi wao wakiwa waandishi wa habari na familia zao pamoja na wadau wa tasnia ya habari mkoa wa Morogoro kura, kunywa na kucheza muziki katika sherehe hiyo iliyofana.

No comments: