Mkurugenzi
Mtendaji mstaafu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Emmanuel Humba
akisalimiana na wafanyakazi wa mfuko wakati wa hafla ya kumuaga ambapo Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (Tughe) tawi la Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya (NHIF), kimemkabidhi zawadi ya sh. milioni 10 aliyekuwa Mkurugenzi
Mtendaji wa mfuko huo, Emmanuel Humba kutokana na kuthamini mchango wake kabla
hajastaafu.
Mwenyekiti wa Chama
cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (Tughe) tawi la NHIF, Gabriel Ishole (kushoto)
akimkabidhi tuzo maalumu Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya (NHIF), Emmanuel Humba kutokana na kuthamini mchango wake kabla
hajastaafu. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Emmanuel Humba akimkabidhi mke wake tuzo maalumu aliyopewa na wafanyakazi wa NHIF baada ya kustaafu.
Furaha ilitawala ukumbini.
Cheers kwa afya.
Kaimu
Mkurugenzi Mktendaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Khamis
Mdee akigonganisha glasi na Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa mfuko huo,
Emmanuel Humba.
Wafanyakazi wakigonganisha glasi kwa furaha.
Kila mtu alikuwa na furaha.
Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa mfuko huo, Emmanuel Humba (kushoto) akigonganisha glasi na wafanyakazi wa mfuko huo.
Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa mfuko huo, Emmanuel Humba (kulia) akigonganisha glasi na wafanyakazi wa NHIF.
Ofisa
Elimu kwa Umma wa NHIF, Grace Michael (kushoto) akigonganisha glasi na
Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa mfuko huo, Emmanuel Humba.
Wafanyakazi wakifurahi kuagana na Mkurugenzi wao.
Wafanyakazi wa NHIF wakicheza kwaito
Kwaito ilipamba moto.
Kila mtu alionyesha kipaji cjake.
Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa mfuko huo, Emmanuel Humba akisakata rhumba.
Wadau wa NHIF wakitafakari
Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa mfuko huo, Emmanuel Humba akipata chakula cha jioni.
Mke wa Mkurugenzi Mtendaji mstaafu akipata chakula.
Katibu wa Tughe tawi la NHIF, Gaudensi Kandyango akipata
Maofisa wa NHIF wakipata chakula cha jioni.
Mkurugenzi
Mtendaji mstaafu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Emmanuel
Humba akitoa neno la shukrani wakati wa hafla hiyo.
Wafanyakazi
wakimtakia mkono wa pongeza Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Emmanuel Humba kwa kazi nzuri aliyofanya
kabla hajastaafu.
Wafanyakazi wa NHIF wakicheza muziki.
Mwenyekiti
wa Chama
cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (Tughe) tawi la NHIF, Gabriel
Ishole (kushoto) akimkabidhi risiti ya ya Benki ya thamani ya shs.
milioni 10 zilizotokana na michango ya wafanyakazi kwa upendo wao kwa
Mkurugenzi wao mstaafu, Emmanuel Humba.
Wafanyakazi wa NHIF wakimpa cheti maalumu kwa kutambua mchango wake.
Kamati ya maandalizi ikiwa katika picha ya pamoja.
Kaimu
Mkurugenzi Mktendaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Khamis
Mdee (kushoto) akimkabidhi zawadi ya picha kumbukumbu Mkurugenzi
Mtendaji mstaafu wa NHIF, Emmanuel Humba.
Kaimu
Mkurugenzi Mktendaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Khamis
Mdee (kushoto) akimkabidhi picha ya kumbukumbu Mkurugenzi Mtendaji
mstaafu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Emmanuel Humba.
Pokea picha ya kumbukumbu.
Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa NHIF akipokea zawadi.
Picha ya pamoja.
Wafanyakazi wa NHIF wakiwa na zawadi kwa ajili ya kukabidhi mke wa Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa NHIF.
Pokea zawadi mama.
Mke
wa Mkurugenzi mstaafu wa NHIF akishukuru kwa zawadi alizopewa na
wafanyakazi wa Mfuko huo kutokana na kuthamini mchango wa Mkurugenzi wa
NHIF, Emmanuel Humba.
Wafanyakazi wa NHIF wakiwa na furaha.
Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa mfuko huo, Emmanuel Humba na mke wake wakifurahia jambo.
No comments:
Post a Comment