Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapunda wakiwa wamesimama mbele ya jeneza la marehemu Anthony tayari kwa kiungia katika kanisa katoliki la Mtakatifu Matha Mikocheni kwa ajili ya misa maalum ya mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jana Fullshangwe inampa pole Ndugu Nesto Mapunda pamoja na ndugu na jamaa kwa kuondokewa na ndugu yao mpendwa marehemu Elias Anthony Mapunda. Wao walimpenda lakini mungu amempenda zaidi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMEN. Mwili wa narehemu Elias Anthony ukiombewa kabla ya kuingizwa kanisani. Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapunda pamoja na waombolezaji wengine wakiombea mwili wa marehemu. Mwili wa marehemu Elias Anthony ukiingizwa kanisani Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapunda wakiongoza waombolezaji kuingia kanisani. Waombolezaji wakiwa kanisani Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Bi. Devotha Mdachi, Meneja masoko wa Bodi hiyo Geofrey Meena wakishiriki katika misa ya mazishi katika kanisa katoliki Mikocheni Baadhi ya maofisa wa bodi ya utalii wakiwa katika misa hiyo Msafara uliobeba mwili wa marehemu Elias Mapunda akiwasili katika eneo la makaburi ya Kionondozi tayari kwa mazishi Msafara uliobeba mwili wa marehemu Elias Mapunda akiwasili katika eneo la makaburi ya Kionondozi tayari kwa mazishi Teddy Mapunda akiwa na mama mkwe wake kushoto mama Agness Marangu tayari kwa kushiriki mazishi ya marehemu Elias Anthony Mapunda katika makaburi ya Kinondoni jana. Waomboleza wakibeba jeneza la mwili wa marehemu Elias Tayari kwa mazishi. Waombolezaji wakiwa makaburini Teddy Mapunda na waombolezaji wengine ndugu jamaa na marafiki wakiweka mchanga kaburini Nesto Mapunda kaka wa Marehemu Elias Mapunda akiweka mchanga kaburini wakati wa mazishi ya marehemu Elias. Waombolezaji wakiwa na huzuni kubwa wakati wa mazishi ya Marehemu Elias Anthony Mapunda yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jana.
No comments:
Post a Comment