Matukio haya na yale sambamba na habari/picha za ziada za Globu ya Jamii
Wednesday, November 12, 2014
TAASISI YA STARKEY HEARING FOUNDATION YAKABIDHI MADARASA MATATU SHULE YA MSINGI YA LOIBORSOIT
Mwanzilishi
wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin pamoja na Mbunge
wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka wakifunua kitambaa kuashiria
ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit
yaliyojengwa na mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika
sherehe zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara
jana.David na steven.Mwanzilishi
wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin akipima sikio kwa
mmoja wa watoto waliohudhuria kliniki iliyokwenda sambamba na ufunguzi
rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit yaliyojengwa na
mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika sherehe
zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara jana.
Mwanzilishi
wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin pamoja na Mbunge
wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka wakifunua kitambaa kuashiria
ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit
yaliyojengwa na mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika
sherehe zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara jana.
Mwanzilishi
wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin pamoja na mkewe,
Tani wakipokelewa na wanakikiji wa Loiborsoit kwenye ufunguzi rasmi wa
majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit yaliyojengwa na
mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika sherehe
zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara jana.Kulia ni
David Furnish mmoja wa wageni maarufu aliyehudhuria hafla hiyo.Yohana shinini.
Wanafunzi
wa darasa la kwanza wa Shule ya Msingi Loborsoit iliyopo Simanjiro
wakiwa darasani huku timu ya Taasisi ya Starkey Hearing Foundation
wakiwa nyuma yao wakati wa kukabidhiwa majengo hayo katika sherehe
iliyofanyika Wilayani Simanjirojana..
No comments:
Post a Comment