Monday, November 17, 2014

MAMIA WAMZIKA MDAU NASELI JOSHUA DORIYE

 Mwili wa marehemu Naseli Joshua Doriye ukitolewa nyumbani kwao Africana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza ibada ya mazishi.
 Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Naseli.
Aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Dar es salaam, Prof. Joshua Doriye ambaye ni mzazi wa Naseli akiwa na mkewe wakati wa ibada ya mazishi nyumbani kwake Africana.
Ibada ikiendelea nyumbani kwa marehemu Naseli Joshua Doriye Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
 Picha ya marehemu Naseli enzi za uhai wake.
 Baadhi ya waombolezaji.
 Waombolezaji.
Wanafamilia wakiimba nyimbo za kumsifu mungu.
Ni huzuni ilitawala wakati wa ibada ya kuaga mwili.
Ndugu jamaa na marafiki wakitoa hesima za mwisho.
Wanafamilia.
Familia.
Mwakilishi wa familia kutoka Mburu akitoa salamu za rambirambi.

Ndugu, jirani, marafiki wakitoa heshima za mwisho.
Zoezi la kuga mwili likiendelea
Mdau Abdalah Natepe akitoa heshima za mwisho.
Baadhi ya wanafunzi alioasoma nao marehemu Naseli wakitoa heshima za nmwisho.
Ndugu na marafiki wakitoa heshima za mwisho.
Wanafamilia wakitoa heshima za mwisho. 
Wanafamilia wakitoa heshima za mwisho.
Wanafamilia wakiwa na huzuni kwa kuondokewa na Naseli Doriye.
Ibada ya ikiendelea.
Marafiki wa marehemu Naseli wakipita mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu kutoa heshima za mwisho.
 Wazazi wa Naseli wakitoa hesima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu, Naseli Doriye.
 Wadogo zake Naseli wakitoa heshima za mwisho.
 Tutakukumbuka kaka yetu mpendwa.
 Waida mdogo wa marehemu akitoa heshima za mwisho.
 Marafiki waliosoma na Naseli.
 Wanafunzi waliosoma na Naseli wakiwasili nyumbani kwa marehemu.
 Baadhi ya marafiki waliosoma pamoja na mdau Naseli Joshua Doriye wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa ibada ya mazishi.
 Waombolezaji
 Baadhi ya waombolezaji wakipata chakula.
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Jangwani wakiwa ni miongoni mwa waombolezaji waliofika kuifariji familia ya Prof. Doriye.
 Wadau.
 Kutoka kushoto, Shuingu, Milinga na Richard marafiki wa marehemu Naseli.
 Wazazi wa marehemu wakifuatilia ibada.
Waida Doriye (kulia) akiteta jambo na ndugu yake.
Rafiki wa marehemu Donald Masawe akitoa heshima za mwisho.
Safari ya mwisho ya maisha ya hapa duniani kwa marehemu Naseli Joshua Doriye ilianza kuelekea makaburini. 

2 comments:

Anonymous said...

brother Michuzi, nashukuru kwa kupost tukio la kuagwa kwa kaka na rafiki yetu mkubwa bwana Asheri....
mungu ailaze mahali pema peponi
twetwe

Tiba asili said...

MALI,UTAJIRI AU FEDHA ZA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI MPAKA MASAA 72(SIKU 3) PAPO HAPO KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA

kwa maelezo kamili piga namba +255742162843

(KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
(HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.

NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

(kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
1. uwe una umri wa miaka 18+
2. uwe tayari kupokea masharti yote
3.uwe na uwezo wa kutunza siri
4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO WANGU.