Mkurugenzi
wa Airtel Huduma kwa Wateja,Bi.Adriana Lyamba akimkabidhi kombe Nahodha
wa timu ya Simba ya UDOM kwa kuibuka washindi wa mashindano ya Airtel
Uni 255,yaliyofanyika katika viwanja vya michezo ndani ya Chuo kikuu cha
Dodoma (UDOM),Mashindano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki mkoani
Dodoma.
Timu
ya Simba ikishangilia mara baada ya kukabidhiwa kombe lao mara baada ya
kuibuka kinara katika mashindano ya Soka ya Airtel 255.
Aidha Aneth Mugha ambaye ni Meneja Masoko wa Airtel alikifafanua mbele ya Wanafunzi wa UDOM (hawapo pichani),namna vocha mpya
ya Airtel Uni 255 inavyoweza kuwanufaisha katika suala zima la kuperuzi kwa gharama nafuu kuliko
zote wakiwa chuoni hapo.Bi, Aneth alisema kuwa Airtel Uni 255 ni huduma
maalum kwa vyuo vikuu inayomuwezesha mwanafunzi kupata huduma nafuu ya
mawasiliano ikiwemo kupiga simu, sms, na intanet ili kwasaidia wanafunzi
kutumia huduma hiyo kujiendeleza kimasomo.
Baadhi
ya Wanafunzi wakishuhudia burudani mbalimbali zilizokuwa zikitolewa
kwenye jukwaa la Airtel Uni 255,baada ya mashindano ya Soka kumalizika
na kumpata mshindi,Wasanii waliotoa burudani kwenye jukwaa hilo ni
Roma,Ney wa Mitego pamoja na Vanessa Mdee a.k.a V-Money na burudani
nyingine,ambapo wasanii chipukizi walishindana kughani na kuibuka na
zawadi mbalimbali zikiwemo simu za mikononi,fulana na nyinginezo.
Baadhi
ya Wanafunzi wa chuo cha Dodoma (UDOM) wakiwa jukwaa wakijiunga na
huduma maalum ya UN 255,ambayo imetolewa kwa ajili yao.Airtel Uni 255 ni
huduma
maalum kwa vyuo vikuu inayomuwezesha mwanafunzi kupata huduma nafuu ya
mawasiliano ikiwemo kupiga simu, sms, na intanet ili kwasaidia wanafunzi
kutumia huduma hiyo kujiendeleza kimasomo.
Aidha Aneth Mugha ambaye ni Meneja Masoko aliwatangazia Wanafunzi wa UDOM,namna vocha mpya
ya Airtel Uni 255 inavyoweza kuwafaidisha kuperuzi kwa gharama nafuu kuliko
zote wakiwa chuoni hapo.
Baadhi
ya Wanafunzi wa UDOM wakishangilia burudani iliyokuwa ikitolewa kweye
jukwaa la burudani la Airtel Uni 255,ambapo wasanii mbalimbali
walitumbuiza akiwemo Ney wa Mitego,Roma Mkatoliki pamoja na Vanessa Mdee
a.k.a V-Money.
Sehemu ya umati wa wanafunzi wa UDOM wakishuhudia yaliyokuwa yakijiri jukwaani kwa usiku huo wa tamasha la Airtel Uni255
Msanii wa muziki wa kizazi kipya atambulikae kwa jina la
kisanii Ney wa Mitego akitumbuiza kwenye tamasha la Airtel Uni 255, lililofanyika
katika viwanja vya michezo ndani ya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM),Mashindano
hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki mkoani Dodoma.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya atambulikae kwa jina la
kisanii Roma Mkatoliki akitumbuiza
kwenye tamasha la Airtel Uni 255, lililofanyika katika viwanja vya michezo
ndani ya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM),Mashindano hayo yalifanyika mwishoni mwa
wiki mkoani Dodoma.
Meneja
Mahusiano waAirtel Tanzania,Jakson Mmbando akitoa maelekezo mafupi
mbele ya Wanachuo (hawapo pichani) kuhusiana na shughuli nzima ya
tamasha la Airtel Uni 255, lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya michezo
ndani ya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM),mkoani Dodoma.
Kikosi cha timu Yanga ya UDOM wakiwa katika picha ya pamoja,ambao waliibuka washindi wa pili wa mashindano ya Airtel Uni
255,yaliyofanyika katika viwanja vya michezo ndani ya Chuo kikuu cha
Dodoma (UDOM),Mashindano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki mkoani
Dodoma.
Mmoja wa Wanafunzi mzuka ukiwa umempanda veyama kabisa wakati msanii wa muziki wa kizazi kipya Ney wa Mitego alipokuwa akitumbuiza kwenye tamasha la Airtel Uni 255.
Mmoja wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Vanessa Mdee a.k.a V-Money akiwaimbisha wanafunzi wa chuo cha UDOM,kwenye tamasha la Airtel Uni 255 lililofanyika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma.
Sehemu ya umati wa wanafunzi wa UDOM wakishuhudia yaliyokuwa yakijiri jukwaani kwa usiku huo wa tamasha la Airtel Uni255
Mmoja wa Wanafunzi mzuka ukiwa umempanda veyama kabisa wakati msanii wa muziki wa kizazi kipya Ney wa Mitego alipokuwa akitumbuiza kwenye tamasha la Airtel Uni 255.
Mmoja wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Vanessa Mdee a.k.a V-Money akiwaimbisha wanafunzi wa chuo cha UDOM,kwenye tamasha la Airtel Uni 255 lililofanyika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma.
Sehemu ya umati wa wanafunzi wa UDOM wakishuhudia yaliyokuwa yakijiri jukwaani kwa usiku huo wa tamasha la Airtel Uni255
No comments:
Post a Comment