| Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira(MUWSA),Florah Stanley akifanya utambulisho kwa waandishi wa habari walipotembelea Mamlaka hiyo. |
| Baadhi ya Wanahabari waliotembelea Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira(MUWSA) |
| Meneja Fedha wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Moshi(MUWSA) Joyce Msiru akijitambulisha kwa wanahabari. |
| Mwenyekiti wa TUICO tawi la MUWSA,Maulid Barie,Katibu wa TUICO tawi la MUWSA ,Jacob Olotu wakati wa ziara ya Waaandishi wa habari katika ofisi za Mamlaka hiyo. |
| Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira ,Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na wanahabari (hawako pichani)walipotembelea ofisi za mamlaka hiyo. |
| Toka shoto ni Meneja Biashara wa MUWSA,John Ndetiko ,Meneja rasilimali watu ,Michael Konyaki wakati wa kiako na wanahabari kilicho fanyika katika ukumbi wa Bodi ya MUWSA. |
| Baadhi ya watendaji wa MUWSA. |
| Meneja Ufundi wa MUWSA ,Patrick Kibasa akizungumza jambo wakati wa kikao hicho. |
| Meneaja Biashara MUWSA ,John Ndetiko akizungumza jambo wakati wa kikao hicho. |
| Mkurugenzi wa MUWSA,Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa wanahabari kuhusu uchimbaji wa visima kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa maji katika vyanzo vyake. |
| Mkurugenzi MUWSA,Mhandisi Cyprian Luhemeja akiwaonesha wanahabari Moja ya tanki lililopo eneo la CCP ambalo linatumika kuhifadhi maji. |
No comments:
Post a Comment