Saturday, October 4, 2014

TANZIA: MAMA MZAZI WA IGP MSTAAFU SAID MWEMA, AFARIKI DUNIA

MKUU  wa Jeshi la Polisi mstaafu, IGP Said Mwema pamoja na ukoo wa Mwema na Nkya unasikitika kutangaza kifo cha mama/dada yao mpendwa Bi Sophia Rajab Nkya kilichotokea jana 3/10/2014 saa 2.45 usiku ktk hospitali ya KCMC Moshi.
Mazishi yatafanyika leo 4/10/2014 saa 10 alasiri ktk makaburi ya Moshi Mjini.
Habari ziwafikie ndugu,jamaa na marafiki waliopo ndani na nje ya nchi.
Saidi Mwema. 


No comments: