Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi wa dini alipowasili katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini. Mkutano huo wa siku nne ulioanza jana unajulikana
kama Tanzania
Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi wa dini alipowasili katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini. Mkutano huo wa siku nne ulioanza jana unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea machapisho toka kwa mwandaaji wa Mkutano wa viongozi wa dini chini ya taasisi ya Programme for Christian-Muslim
Relations in Africa (PROCMURA) yenye makao yake makuu mjini Nairobi, Kenya,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa siku nne ulioanza jana unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na washiriki wa Mkutano wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa siku nne ulioanza jana unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika pich ya pamoja na washiriki wa Mkutano wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa siku nne ulioanza jana unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika pich ya pamoja na wafanyakazi wa hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam wanaowahudumia washiriki wa Mkutano wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa siku nne ulioanza jana unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence. PICHA NA IKULU
Msiingize
dini katika siasa, Rais awaambia mabalozi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema
kuwa kuna ushahidi sasa unaothibitisha kuwa baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha
nchi zao hapa nchini wamekuwa wanachaganya dini na siasa wakitumia dini kuunga
mkono baadhi ya vyama vya siasa na shughuli za kisiasa nchini.
Aidha,
Rais Kikwete amewaomba mabalozi hao “kuiokoa” Tanzania katika majanga
makubwa yanayoweza kuipata kwa kutumia dini kuendeleza siasa, hatua ambayo
ameielezea kama “njia ya hatari kweli kweli.”
Rais
Kikwete alikuwa anazungumza usiku wa jana, Jumatatu, Oktoba 6, 2014, wakati wa
chakula cha usiku ambacho alikula na viongozi wa dini nchini ambao wanaendelea
na mkutano wao wa mwaka kwenye Hoteli ya White Sands ya Dar Es Salaam.
Mkutano
huo wa siku nne ulioanza jana unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim
Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence ni mwendelezo
wa mikutano ya viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo
la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini. Mkutano wa mwisho ulifanyika
mwaka juzi, 2012 kwenye Hoteli hiyo hiyo.
Aidha,
Mkutano huo ambao moja ya wadhamini wake ni taasisi ya Programme for Christian-Muslim Relations in Africa (PROCMURA) yenye
makao yake makuu mjini Nairobi, Kenya, unahudhuriwa na mabalozi 15 wanaoziwakilisha
nchi zao hapa nchini na mashirika kadhaa ya kimataifa likiwemo lile la Mpango
wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP).
Mabalozi
wanaoziwakilisha nchi zao katika Mkutano huo ni wa Ujerumani, Iran, Marekani,
Norway, Uturuki, Sweden, Canada, Denmark, Finland, Misri, Qatar, Uswisi,
Palestina, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Saudi Arabia na Umoja wa Ulaya
(EU).
Viongozi
wa dini wanaoshiriki katika Mkutano huo wanatoka Zanzibar, Dar Es Salaam,
Mwanza, Morogoro, Mtwara, Lindi, Arusha, Geita na Mbeya.
Akizungumza
kwenye chakula hicho cha usiku, Rais Kikwete aliungana na Mshauri Mkuu wa PROCMURA ambaye alionya kuhusu hatari za
kweli zinazoendelea kuikabili dunia kwa sababu ya kuingiza dini katika siasa (Politicisation of Religion) na kuingiza
siasa katika dini (Religinasation of
Politics).
Rais
Kikwete amewaambia viongozi hao: “Mwakilishi wa PROCMURA ametoa ujumbe mzito
sana. Ametoa fumbo ambako amewaasa mabalozi wasiingize dini katika siasa na
wasiingize siasa katika dini. Na mimi nataka kuungana naye na kuwaomba mabalozi
waiokoe nchi yetu katika majanga makubwa yanayoweza kutokana na kutumia dini
kuendeleza siasa. Ni njia ya hatari kweli kweli.”
Ameongeza
Rais Kikwete: “Kuna ushahidi sasa kuwa baadhi yetu, baada ya kushindwa kutumia
ukabila katika kuendeleza siasa, sasa mmegeukia dini.Mnatumia dini katika
kuunga mkono baadhi ya shughuli za kisiasa na baadhi ya vyama vya siasa.”
Imetolewa
na;
Kurugenzi
ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu – Dar es
Salaam.
7
Oktoba, 2014.
No comments:
Post a Comment