Wednesday, October 15, 2014

MEGATRADE INVESTIMENT LTD YAIBEBA POLISI KILIMANJARO

Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investment Ltd,Roselian Laizer akimkabidhi jezi kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Moita Koka kwa ajili ya timu ya Polisi Kilimanjaro inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa.kulia ni Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya jinai (RCO) ,Ramadhani Ng'anzi.
Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investment Ltd,Roselian Laizer akimkabidhi jezi kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Moita Koka kwa ajili ya timu ya Polisi Kilimanjaro inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa.kulia ni Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya jinai (RCO) ,Ramadhani Ng'anzi.
Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investment Ltd,Roselian Laizer akimkabidhi Hundi ya kiasi cha shilingi milioni moja Kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Moita Koka kwa ajili ya timu ya Polisi Kilimanjaro inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa.kulia ni Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya jinai (RCO) ,Ramadhani Ng'anzi akishuhudia makabidhiano hayo.
Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investment Ltd,Roselian Laizer akikabidhi Mpira kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Moita Koka kwa ajili ya timu ya Polisi Kilimanjaro inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa.kulia ni Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya jinai (RCO) ,Ramadhani Ng'anzi akishuhudia makabidhiano hayo.
Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investment Ltd,Roselian Laizer akizungumza mara baada ya kukabidhi vifaa vya michezo pamoja na Hundi kwa uongozi wa jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro kwa ajili ya maandalizi ya timu ya Polisi Kilimanjaro inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa.
Baadhi ya viongozi wa timu ya Polisi Kilimanjaro na wawakilishi wa Kampuni ya Megatrade wakishuhudia makabidhiano hayo.
Kaimu kamanda mkoa wa Kilimanjaro Moita Koka akizungumza mara baada ya kukabidhiwa msaada wa jezi pamoja na fedha toka kampuni ya Megatrade Investment ya jijini Arusha.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Moita Koka akikabidhi vifaa kwa nahoda wa timu ya Polisi ,Abdalah Amir mara baada ya kukabidhiwa na kampuni ya Megatrade Investment ya jijini Arusha.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya kaskazini.

1 comment:

Unknown said...

Maoni yangu kuhusu ethics za vyombo vya serikali.Ni makosa kabisa kwa kampuni,shirika la mtu binafsi kutoa zawadi wa Polisi ambacho ni chombo cha Dola.Huku ni kununua haki.Kesho kampuni ya Megatrade ikivunja sheria au kujiusisha katika biashara isiyo halali,italeta utata kwa polisi kuichukulia hatua za kisheria.Polisi ni chombo cha Dola na makampuni na mashirika binafsi yakae kando katika kutoa msaada.Polisi wawakilishe budget yao wizarani itakayo kuwa na sehemu ya mafungu ya michezo.Tunakwenda wapi watanzania??