Waziri
wa Katiba na Sheria Dkt. Asha Rose Migiro (katikati ), akikata utepe
akizindua zahanati kwa ajili ya matibabu ya wanafunzi wa Shule ya
Sekondari ya Wasichana wanaoishi katika mazingira hatarishi ya WAMA
Nakayama iliyopo katika kijiji cha Nyamisati, wilayani Rufiji mkoani
Pwani wakati mahafali ya pili yaliyofanyika Octoba 27,2014 (kulia), Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete, na kushoto ni Kaimu Balozi wa Japan nchini,
Kazuyoshi Matsu.
Wangeni waalikwa wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuunza kwa hafla hiyo.
Wageni wakiwa kwenye hafla hiyo.
Kutoka
kushoto Kaimu Balozi wa Japan nchini, Kazuyoshi Matsu, WAZIRI wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),
Hawa Ghasia, Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha Rose Migiro, Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete, Mwenyekiti wa bodi ya shule ya Wama Nakayama
Dr. Ramadhan Dau, Naibu waziri wa Tamisemi.Kassim Majaliwa wakiimba
wimbo wa Taifa uliondaliwa na wanafunzi wa shule ya WAMA Nakayama kabla
ya kaanza hafla hiyo.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete (kushoto), akimtambulisha Mkuu wa kwanza wa
Shule ya Sekondari ya WAMA Nakayama, Mama Hawa Mabrouk. iliyopo katika
kijiji cha Nyamisati, wilayani Rufiji mkoani Pwani wakati mahafali ya
pili yaliyofanyika Octoba 27,2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa mahafali ya pili yaliyofanyika Oktoba 26,2014.
Bendi ya Mjomba Band Mrisho Mpoto ikitoa burudani wakatiti wa hafla hiyo.
Baadhi
ya wahitimu wa elimu ya sekondari ya kidato cha nne kutoka katika Shule
ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi katika mazingira magumu ya WAMA
Nakayama iliyopo katika kijiji cha Nyamisati, wilayani Rufiji mkoani
Pwani wakifurahia na jambo na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa
sherehe za mahafali ya pili yaliyofanyika Oktoba 26,2014.
Baadhi
ya wahitimu wa elimu ya sekondari ya kidato cha nne kutoka katika Shule
ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi katika mazingira magumu ya WAMA
Nakayama iliyopo katika kijiji cha Nyamisati, wilayani Rufiji mkoani
Pwani.wakiwa wamejipanga tayari kuelekea seemu maalumu iliondaliwa
kwaajili ya kuagwa.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON).
No comments:
Post a Comment