Dereva Boda boda ambao ni wananchama wa Chama cha Wananchi CUF wakiongoza msafara wa mapokezi ya Prof Ibrahim Lipumba mara tu alipo wasili Wilayani Tunduru akitokea Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.Lipumba yupo Mikoa ya Kusini inayojumuisha Ruvuma,Lindi na Mtwara kwa ziara
ya siku 16 ikiwa na dhumuni la kuimarisha chama pamoja kuhamasisha
wananchi kujitokeza katika daftari la
wapiga kura na vitambulisho vya
taifa
Huu ni umati wa watu waliojipanga barabarani kumpokea prof Ibrahim Lipumba
Wakazi wa Tunduru ambao ni wanachama wa Chama cha Wananchi CUF, wakiwa katika msafara wa Mwenyekiti wa chama hicho,Prof
Ibrahim Lipumba
Wanachama wa Chama cha Wananchi CUF wakiwa katika msafara wa mapokezi ya Mwenyekiti wa chama hicho,Prof
Ibrahim Lipumba
Polisi wakiwa katika ulinzi wa Prof Ibrahim Lipumba
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF,Prof Ibrahim Lipumba akiwahutubia maelfu ya wananchi waTunduru waliojitokeza kumsikiliza katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja baraza la Iddi Tunduru mjini.
No comments:
Post a Comment