Bi. Susan Mzee kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Diaspora akiwasilisha Mada kuhusu Serikali katika kuwashirikisha Diaspora na nini kimefanyika hadi sasa. |
Bi Jamila Ilomo kutoka Uhamiaji, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akiwasilisha mada kuhusu Uraia ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. |
Dkt. Mariam Ongara kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii akiwasilisha mada kuhusu Hali ya sasa nchini kuhusu Afya ya kina Mama Wajawazito na Watoto wakati wa Mkutano wa DICOTA mjini Durham |
Bw. Kofi Anani kutoka Benki ya Dunia nae akiwasilisha mada wakati wa Mkutano wa DICOTA. |
Bi. Lulu Mengele, Afisa Mwandamizi kutoka Mfuko wa PPF akiwasilisha mada kuhusu Mfuko huo na umuhimu wake kwa Diaspora wakati wa mkutano wa DICOTA |
Dkt. Joe Masawe kutoka Benki Kuu ya Tanzania akiwasilisha mada kuhusu Uchumi na umuhimu wa fedha zinazotumwa na Diaspora katika kuchangia uchumi wa nchi. |
Bw. Dickson Ernest kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) akiwasilisha mada wakati wa mkutano wa DICOTA |
Bw. Charles Singili kutoka Benki ya Azania nae akiwasilisha mada wakati wa mkutano wa DICOTA |
Afisa kutoka EPZA, Bi. Grace Lemunge akiwasilisha mada kuhusu Fursa za Uwekezaji ndani ya EPZA wakati wa mkutano wa DICOTA.
|
No comments:
Post a Comment