Warembo
wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia siku
ya pili ya kambi yao jijini Dar es Salaam na baada ya semina asubuhi na
mapumziko ya mchana jioni hii wamefanya mazoezi katika chumba maalum cha
mazoezi 'Gym', ungana na mpigapicha wa Father Kidevu Blog katika picha
mbalimbali za warembo hao katika kambi yao.
No comments:
Post a Comment