Tuesday, September 9, 2014

WAKAZI KATIKA MJI MDOGO WA HIMO WAFANYA SHEREHE YA KUMUAGA AFANDE LABAN AKEYO

Mkaguzi msaidizi wa Polisi,Inspekta Sospeter Laban Akeyo akiingia ukumbini na mkewe Fidea Laban wakati wa sherehe ya kumuaga iliyoandaliwa na wakazi wa mji wa Himo katika ukumbi wa King Size In.
Afande Laban na mkewe wakiwa meza kuu na wageni wengine waalikwa.
Champegne zikafunguliwa maalumu kwa ajili ya wageni waalikwa.
Waagwaa wakagonga Cheers.
Baadhi ya wafanyakazi wenzake na Afande Laban wakapita mbele na kugonga Cheers kama sehemu ya kumuaga mwenzao.
Mkuu wa kituo cha Polisi cha Himo msaidizi ,Benard Kapusi ambaye ameshika nafasi ya Afande Labani aliye hamishiwa mkoa wa mpya wa Simiyu akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Afande Laban akimtambulisha ,Kapusi kwa wakazi wa Himo.
Afande Laban na mkewe Fidea wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wenzake.
Afande Laban akikabidhiwa zawadi ya viatu vya kuchezea mpira wa miguu ikiwa ni ishara ya kuthamini mchango wake katika kukuza michezo katika mji wa Himo.
Afande Laban akiwa katika picha ya pamoja na kamati iliyofanikisha hafla hiyo ya kumuaga.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.

1 comment:

Anonymous said...

Asante kaka, nimekukubali..