Afisa
Mkuu Ugawaji Rasmali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda ,
akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) juu ya hafla ya
kutafuta uwezo wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi
milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari za
Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa
Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena wapili kushoto ni Mkurugenzi
Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen
Mazalla, Mkurugenzi Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena Seraphin
Midana na Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar (kulia)
Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena Seraphin Midana wapili kutoka (kulia) akisistiza jambo kwa wandishi wa habari jijini Dar es Salaam, juu
ya hafla ya kutafuta uwezo wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya
shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na
Sekondari za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo
itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena. Wapili kutoka kulia ni Mkurugenzi
Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen
Mazalla, ni Afisa Mkuu Ugawaji Rasmaiali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania
(TEA) Mozes Nyirenda , Afisa Uhusiano wa NSSF Anna Nguo, Meneja wa Kampuni ya Dun &Bradstreet Credit Bureua ( T) LTD Adebowele Atobatele (Kushoto) kulia ni Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar .
Mkurugenzi
wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar (kulia) akiongea kwa
waandishi wa habari hawapo pichani jijini Dar es Salaam juu ya hafla ya
kutafuta uwezo wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi
milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari za
Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa
Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena. Wapili kushlia ni
Mkurugenzi Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena Seraphin Midana. Mkurugenzi
Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen
Mazalla, ni Afisa Mkuu Ugawaji Rasmaiali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania
(TEA) Mozes Nyirenda , Afisa Uhusiano wa NSSF Anna Nguo, Meneja wa Kampuni ya Dun &Bradstreet Credit Bureua ( T) LTD Adebowele Atobatele (Kushoto)
Meneja
wa Kampuni ya Dun &Bradstreet Credit Bureua ( T) LTD Adebowele
Atobatele akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari hawapo pichani juu
umuhimu wa kusaidia kupatikana elimu bora nchini ambapo taasisi isiyo
ya kiserikali ya Nkwamira Oktoba 3 mwaka huu wataakuwa na hafla ya
kutafuta uwezo wa Kununua
Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya
kusaidia shule 10 msingi na Sekondari za Wilaya ya Temeke jijini Dar es
Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli
ya serena wapili kutoka kushoto ni Afisa Uhusiano wa NSSF Anna Nguo,
Afisa Mkuu Ugawaji Rasmaiali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes
Nyirenda, Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya
Nkwamira ,Noreen Mazalla , Mkurugenzi Mauzo na Masoko wa Hoteli ya
Serena Seraphin Midana na Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd
Anver Rajpar (kulia)
Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena Seraphin Midana akisistiza jambo kwa wandishi wa habari jijini Dar es Salaam, juu
ya hafla ya kutafuta uwezo wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya
shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na
Sekondari za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo
itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena. Wapili kutoka kulia ni Mkurugenzi
Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen
Mazalla, ni Afisa Mkuu Ugawaji Rasmaiali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania
(TEA) Mozes Nyirenda , Afisa Uhusiano wa NSSF Anna Nguo, Meneja wa Kampuni ya Dun &Bradstreet Credit Bureua ( T) LTD Adebowele Atobatele (Kushoto)
Mkurugenzi Mkuu
Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla
akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) juu ya hafla ya
kutafuta uwezo wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena katikati ni Mkurugenzi Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena Seraphin Midana na Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar (kulia) kwa wale ambao hawatafika katika hafla hiyo wanaombwa kuchangia mradi huo kupitia namba 777777 yenye jina la Nkwamira.
Mkurugenzi Mkuu
Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla
akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) juu ya hafla ya
kutafuta uwezo wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari za
Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa
Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena. Kushoto ni Afisa Mkuu Ugawaji Rasmaiali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda ,Mkurugenzi Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena Seraphin Midana na Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar (kulia).
UCHANGIAJI
WA VITABU: Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya
Nkwamira ,Noreen Mazalla akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani
) juu ya hafla ya kutafuta uwezo wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari za
Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa
Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena. Kushoto ni Afisa Mkuu Ugawaji Rasmaiali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda ,Mkurugenzi Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena Seraphin Midana na Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar (kulia).(Picha na Albart Jackoni)
No comments:
Post a Comment