Thursday, September 11, 2014

Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF waendelea leo jijini Arusha

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akijibu sehemu ya maswali yaliyouliwa na Wanachana na Wadau wa PPF kwenye Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.Picha Zote na Othman Michuzi,Arusha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii (SSRA),Juma Ally Muhimbi akichangia mada kwenye Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Kikao cha pili cha Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,Bw. David Mataka akiongoza kikao hicho katika Mkutano huo unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,Alhaj Ramadhan Khijja azungumza jambo wakati akiongoza Mkutano huo wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa PPF unaoendelea kufanyika hivi sasa kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Kikao cha tatu cha Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,Bw. David Mataka akiongoza kikao hicho katika Mkutano huo unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Martin Mmari akionyesha moja ya kabrasha la ripoti ya Mwaka ya Mfuko huo wakati akiwasilisha taarifa ya fedha kwa mwaka wa 2013 katika Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaoendelea leo kwa siku ya pili katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Martin Mmari akiwasilisha taarifa ya fedha kwa mwaka wa 2013 katika Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaoendelea leo kwa siku ya pili katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Assumpta Maina Mallya akiwasilisha mada yake iliyokuwa ikielezea namna mfuko wa Pensheni wa PPF unavyofanya kazi zake Wakati wa Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaoendelea leo kwa siku ya pili katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.








Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akijadiliana jambo na Mjumbe wa Bodi ya PPF,Bi. Adeligunda Mgaya.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio,Mjumbe wa Bodi ya PPF,Bi. Adeligunda Mgaya na Mwenyekiti wa Bodi,Alhaj Ramadhan Khijja wakipitia makabrasha.























No comments: