Wednesday, September 10, 2014

Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF waanza rasmi leo jijini Arusha



Mgeni Rasmi katika Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akitoa hotuba yake wakati akifungua mkutano huo unaofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha kwa siku tatu mfululizo kuanzia leo Septemba 10 mpaka Septemba 12,2014.Katika hotuba yake hiyo,Mh. Nchemba wameutaka Mfuko wa PPF kuhakikisha wanapanua wigo kwa kuongeza wanachama wengi kutoka kwenye setka binafsi hasa wananchi wa kipato cha chini ikiwemo wajasiriamali.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,Alhaj Ramadhan Khijja akitoa hotuba yake mapema leo asubuhi wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akizungumza leo kwenye Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.

Baadhi ya Wanachama wa Mfuko wa PPF wakitoa ushuhuda wao mbele ya wanachama wenzao juu ya manufaa waliyoyapata kupitia Mfuko wa PPF.

Mwenyekiti wa Chama cha Wakuu wa Mashirika ya Hifadhi za Jamii nchini,Daudi Msangi akitoa shukrani kwa mgeni rasmi na kwa wadau wote kwa ujumla kwa kuitika kwao wito kwenye Mkutano huo.
Mgeni Rasmi katika Mkutano huo,Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio wakati wa Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akifatlia mada kwenye mkutano huo.
Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini,Kamishna Jenerali,John Casmir Minja akifatilia Mkutano huo.
Mgeni Rasmi katika Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akizindua rasmi huduma mpya za Mfuko wa PPF kupitia simu za mikononi.

Sehemu ya Waheshimiwa Wabunge wanaohudhulia Mkutano huo wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Majadiliano ya hapa na pale.

Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani akifatilia mkutano.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Irene Isaka.





Sehemu ya Wakurugenzi wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta,Sabasaba Moshingi akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa PSPF,Adam Mayingu.













Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani (kushoto) akikabidhi Mfano wa Cheti,Muwakilishi wa Chama wa Wavuvi kutoka Ukerewe,Alphonce Mukama wakati wa Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha. Wapili kushoto ni Mgeni Rasmi katika Mkutano huo,Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba.
Mgeni Rasmi katika Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akikabidhi cheti kwa Meneja Mafunzo na Maendeleo wa Benki ya CRDB,Agnes Robert kama wachangiaji mahiri kwenye Mfuko huo.

Picha ya pamoja na Baadhi ya Washindi wa tuzo mbali mbali za uchangiaji wa Mfuko wa PPF.
Picha ya pamoja na Baadhi ya Wanachama wapya wa PPF ambao ni Waheshimiwa Wabunge na Kamishna Mkuu wa Magereza.
Picha ya pamoja na Waheshimiwa Wabunge.
Wakurugenzi wa zamani wa Mfuko wa PPF.

Picha ya Pamoja wa Viongozi wa Chama cha Wafanyakazi.





No comments: