Friday, September 26, 2014

MAMA SALMA AHUTUBIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA UN WA KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE NA WASICHANA KIFEDHA

IMG_2587
IMG_2648
IMG_2668
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Umoja wa Mataifa. Kutoka kushoto ni Mama Kim Barrow, Mke wa Waziri Mkuu wa Belize, Mama Joyce Banda na wa kwanza kushoto ni Mama Dianne Stewart. PICHA ZOTE NA JOHN LUKUWI

No comments: