|
Jengo la Dawati na Jinsia na Watoto
lilojengwa katika kituo kikuu cha Polisi mjini Moshi. |
|
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,Inspekta
Jenerali wa Polisi ,Ernest Mangu akizungumza wakati wa uzinduzi wa
jengo la dawati la Jinsia katka kituo kikuu cha Polisi mjini
Moshi. |
|
Kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa
Kilimanjaro,Koka Moita akizungumza kabla ya kumkaribisha ,IGP ,Mangu
kuzindua dawati la jinsia. |
|
Mkuu wa Dawati la Jinsia mkoa wa
Kilimanjaro,Grace Lyimo akisoma taarifa ya ujenzi wa jengo
hilo. |
|
IGP,Mangu akikata utepe kuashiria
kuzinduliwa kwa dawati la jinsia katika kituo kikuu cha Polisi
Moshi. |
|
IGP ,Mangu akizindua jengo hilo kwa kufungua
kitambaa akuonesha kibao chenye kumbukumbu ya ufunguzi wa jengo
hilo. |
|
IGP,Mangu akitembelea jengo
hilo. |
|
Kisha IGP,Mangu akafanya shughuli ya utoaji
wa vyeti vya kutambua mchango kwa taasisi na kampuni mbalimbali
zilizochangia ujenzi wa jengo hilo. |
|
Wadau waliochangia ujenzi wa jengo hilo
wakiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa jeshi la
Polisi. |
|
Kikosi cha Polisi jamii ,pia kilipata fursa
ya kupata picha ya pamoja. |
|
Watoto wa kituo cha Mkombozi wakiwa katika
picha ya pamoja na IGP,Mangu. |
|
Watoto wa kituo cha Amani wakiwa katika
picha ya pamoja na IGP,Mangu. |
Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii
kanda ya kaskazini.
No comments:
Post a Comment