Mbunge Filikunjombe akishiriki kuchimba mfereji wa maji kijiji cha Madindo |
katibu wa mbunge Filikunjombe Bw Stan Gowele kulia |
Mbunge Filikunjombe akishiriki kushusha tanki katika lori na wapiga kura wake tenki kwa ajili ya mradi wa maji kijiji cha Madindo |
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kulia akishiriki kujenga mradi wa maji kijiji cha Madindo Ludewa |
Mbunge Filikunjombe kulia akishiriki kuunganisha bomba la maji katika tanki |
Wananchi wa madindo wakishirikiana na mbunge wao Filikunjombe kukamilisha mradi wa maji |
Diwani wa kata ya Mlangali Faraja Mlelwa akisaidia kukunja nguo kwa ajili ya kumwongeza mbunge Filikunjombe kata kichwani huku mbunge huyo akiwa na wanawake wakiwa na ndoo za maji kichwani |
Mwenyekiti wa kijiji na wananchi wa Madindo wakimwongoza mbunge Filikunjombe katikati kwenda kutazama chanzo cha maji yanayotumika kijiji cha Madindo |
Mbunge Filikunjombe akielekea kutazama chanzo cha maji kijiji cha madindo |
Hiki ndicho chanzo cha maji ambacho wananchi wa Madindo hukitumia |
Mbunge Filikunjombe akiongoza wananchi na viongozi kupanda mlima kwa kukimbia mbio ili kuelekea kuzindua mradi wa maji |
WANANCHI wa Kigongoji cha Madindo kijiji cha Mlangali
kata ya Mlangali wilaya ya Ludewa kwa
kushirikiana na mbunge wao Deo
Filikunjombe (CCM ) na diwani wao wa kata ya
Faraja Mlelwa wakamilisha mradi wa maji wa milioni 15 badala ya milioni 87 za Halmashauri
ya Ludewa
Kukamilika
kwa mradi huo kwa gharama ya Tsh milioni 15 kumeokoa fedha za
Halmashauri kiasi cha Tsh milioni 65 ambazo Halmashauri ya wilaya ya
Ludewa ilikuwa ikizitafuta ili kupeleka maji kwa wananchi hao.
Hatua ya wananchi hao
kujitolea nguvu zao kuanzisha mradi huo
ilikuja baada ya uongozi wa Halmashauri hiyo kuendelea
kuwazungusha juu ya uanzishaji wa
mradi huo kwa madai ya Halmashauri kutokuwa na kiasi hicho cha fedha na
kuwataka wavute subira huku
wao wakiendelea kutembelea umbali
wa km zaidi ya 10 kufuata maji.
Akitoa pongezi zake kwa mbunge diwani wa Kata ya Mlangali
kupitia Chama cha DemokrasianaMaendeleo (CHADEMA) amempongezaMbungewaJimbo la
Ludewa, DeoFilikunjombe (CCM) kwajitihadazakezakuletamaendeleokatika kata
yakenajimbohilo la Ludewa .
Mbunge Filikunjombe akijiandaa kupokea rita ya pombe aina ya ulanzi ili kushiriki kunywa pombe hiyo na wapiga kura wake |
Hatuayadiwanihuyokutoapongezihizoimekujabaadayambungehuyokutekelezaahadiyakendaniyasiku 14yakukamilishamradiwamajikitongoji cha
Madindukijiji cha
Mlangalikwakupelekamatenkiyamajiyavifaavyakumalizahatuazamwishozamradihuo.
“…Nachukua fursahiikukupongezasanawewembungeFilikunjombe,
tulikualikaAgosti 5, mwakahuu,
ukatuahidinaleohiinaonamatenkiyamajiyamesimikwahapa,
lakinipiaumeshirikikuchimbamtaro, hiiinatuonyeshakwambaumetuungamkono, umetusaidia,
uondoaileadhailiyokuwainatupatasikuzotehapakijijini,” alisemaMlelwa.
Diwani Mlelwa alisema wananchi wake wakijiji cha
Madindu walikuwawanapatashidayakutembeaumbalimrefuwa km zaidiyatanokwendakufuatamajinaviongoziwengi
waliokuwepowalikuwawakitoaahadibilautekelezaji.
“InapendezasanatunapokuwatunasimamiaIlani,
ziwezilezinazotekelezeka, mbungeametuahidini wiki mojatumeonamatokeoyametokea,
lakininapendanisemekuwatunapokuwakwenyeshughulizamaendeleo,
itikadizavyamatunaziwekapembeni,” alisemaDiwanihuyo.
Akizungumzanawananchiwakijijihicho, MbungeFilikunjombe
ambayealiongozananambungemwenzakeKange Lugola kutoka Jimbo la Mwibalamkoani
Mara alimpongeza diwanikwakuwakaribujiraninawananchi wake nakuwambungewamfanokatikajimbohilo nan
je yajimbo.
“Nakupongezasanawewediwaniwa CHADEMA kwakuwamakini kwenye
hili, kunifuatamimimbungewa CCM navilevilekumtumiamwenyekitiwakijijikutoka CCM
kutekelezaIlaniya CCM kwakutatuakeroyamajiiliyokuwaikiwakabiliwananchiwenu,”
alisemaFilikunjombe.
Akizungumza jana nawananchiwakijiji
cha Madindo wilayani Ludewa, mkoaniNjombe,
FilikunjombealimsifudiwaniFarajaMlelwakwakushirikiananawananchihaonakufanikishamradiwamaji.
“Nawapongezawananchiwote, maanamlifikamahalimlichoka,
mkaamuakunipigiasimu, shidainayowakabilihamkungojaserikali, mmeonashidayamajiipo,
mkasematuanzesisiwenyewe, lakiniwatuwengiwamekuwawakisemaserikaliitafanya,
mpakaviongozi, hilohapana,” alisemaFilikunjombe.
MbungeFilikunjombeambayealiongozananaMbungemwenzakeKangiLugolakutokaMwibalamkoani
Marakwenyeuzinduzihuowamradiwamaji, walishirikikuchimbamtarowakupelekamabombakutokakwenyechanzo
cha majikilichotegwakwenyechemichemyamajiinayotoka.
“Tuachekunung’unika, kulalamika,
kilammojaatimizewajibu wake, mbungeatimizewajibu wake, diwaninayeatimizewajibu
wake, nawananchinaowatimizewajibuwao, tukiunganainawezekana,”
alisemaFilikunjombe.
Alisema hapendi kuona
wapiga kura wake wanapata
tabu hivyo ndio sababu ya
yeye mwenyewe kulazimika kushiriki kwa nguvu zote maendeleo ya kuchimba
mifereji na kuhakikisha mradi huo unaanza kutoa maji .
Akizungumzia furaha ya kupatikana maji kwenye kijiji chao,
mkazi wa kijiji hicho,
Yusta Mtega alisema wanashukuru maji kuanza kutoka kwenye kijiji chao ambapo alidai hapo awali watoto wao walikuwa hawapati maji ya kuoga,
na hata nguo zao zilikuwa zimefubaa kwa kukosa kufuliwa.
“Naushukuruuongoziwetuwotekwakutuleteamaji,
alfajiri tulikuwa tunaamka kufuata maji mtoni kwa umbali wa kilomita tano,watoto walikuwa wanaenda shuleni bila kunawa,
miguu sasa inaonekana kutokana na maji tuliyoyapa,” alisemaMtega.
Mbunge
wa jimbo la Mwibara Kang Lugola akiwa na pombe aina ya ulanzi huku
pembeni mbunge akiwa ameonyesha kuchoka kutoka na kazi nzito ya siku
nzima mara aliposhiriki kuchimba mifereji ya maji na wapiga kura wake
......................................................................
Mradi huo wa maji katika kijiji cha Madindo hivi sasa utaweza kuhudumia jumla ya kaya 360 za wakazi wa kijiji hicho.
......................................................................
Mradi huo wa maji katika kijiji cha Madindo hivi sasa utaweza kuhudumia jumla ya kaya 360 za wakazi wa kijiji hicho.
Mwanamke mkazi wa Madindo akimpongeza mbunge Filikunjombe kwa kasi kubwa ya maendeleo jimboni
No comments:
Post a Comment