Tuesday, August 12, 2014

mkutano wa wadau wa maendeleo kutoka maeneo kame wafanyika leo mjini Singida

  Katibu Tawala Mkoa wa Singida Bw. Liana Hassan (katikati) akiwa na Prof. Claude Mung'ong'o (kulia) na Prof. Faustin Maganga wakifuatilia mkutano wa wadau wa maendeleo kutoka maeneo kame uluofanyika leo mjini Singida
 Katibu Tawala wa mkoa Singida Bw. Liana Hassan na Prof. Claude Mung'ongo (kulia) wakifuatilia mkutano
 Mtafiti mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof. Claude Mung'ong'o akitoa maelezo kuhusu maeneo kame yaliyoathirika na mabadiliko ya tabianchi.
 Katibu Tawala Mkoa wa Singida Bw. Liana Hassan akifungua mkutano wa kikanda wa wadau wa maendeleo kutoka maeneo kame kanda ya Singida
 Katibu Tawala Mkoa wa Singida Bw. Liana Hassan akifungua mkutano

Wadau wa maendeleo kutoka maeneo kame wakifuatilia mkutano
Picha ya pamoja ya washiriuki wa mkutano wa wadau wa maendeleo kutoka maeneo kame uluofanyika leo mjini Singida

No comments: