|
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi
wa Mazingira mjini Moshi, MUWSA wakiwa katika eneo la Longuo A tayari kupokea Mwenge wa Uhuru. |
|
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi
wa Mazingira mjini Moshi, MUWSA wakijaribu kupoza njaa kwa ndizi baada
ya kungojea Mwenge kwa muda. |
|
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka
ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Shally Raymond akiteta jambo
na Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Mhandisi Cyprian Luhemeja wakati
wakingojea ujio wa Mwenge. |
|
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka
ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Shally Raymond akitoa
maelekezo baada ya kuwanunulia ndizi wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji
safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA). |
|
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi
na Mazingira Mjini Moshi wakiongozwa na mkurugenzi wao Mhandisi
Cyprian Luhemeja (wa kwanza) |
|
Mkurugenzi wa MUWSA Mhandisi Cyprian Luhemej
akipokea Mwenge wa Uhuru baada ya kufika katika eneo la Longuo ambako
ulmezindua tanki la Maji. |
|
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya maji
safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi ,MUWSA wakishiriki kupokea
Mwenge wa Uhuru ulipotembelea eneo hilo. |
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa ,Rachel
Kassanda akikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi katika
tanki la Maji la Longuo A. |
|
Jiwe la Msingi katika tanki la Maji la
MUWSA. |
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel
Kassanda akifungua maji kuashiria kuanza kutumika kwa maji yanayotka
katika tanki la Maji lililozinduliwa. |
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel
Kassanda akibeba maji baada ya kuzinduliwa kwa tanki la Maji la Longuo
A. |
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel
Kassanda akimtwisha ndoo ya Maji Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa
Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi Shally
Raymond. |
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel
Kassanda akiotesha mti katika eneo lililopo Tanki la Maji la Longuo
A. |
|
Mkuu wa wilaya ya Mwanga Shaibu Ndemanga
akiotesha mti katika eneo hilo. |
|
Mkurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na Usafi
wa Mazingira mjini Moshi ,Mhandisi Cyprian Luhemeja akiotesha
mti katika eneo hilo. |
|
Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi ,Shaban
Ntarambe akiotesha mti katika eneo hilo. |
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel
Kassanda akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa
MUWSA,Shally Raymond. |
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel
Kassanda akizungumza mara baada ya kuzindua tanki la Maji pamoja na
uoteshaji wa miti katika eneo hilo . |
|
Tanki la Maji
lililozinduliwa. |
|
Mkurugenzi wa MUWSA,Mhandisi Cyprian
Luhemeja akibeba Mwenge wa Uhuru, |
|
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi akibeba
mwenge wa Uhuru, |
|
Mmoja wa wafanyakazi wa MUWSA kibeba Mwenge
kwa niaba ya wenzake. |
|
Wafanyakazi wa MUWSA wakapata fursa ya
kupiga pucha na Mwenge wa Uhuru. |
|
Mwenge wa Uhuru ukiendelea kukimbizwa katika
maeneo mengine ya Mkoa wa Kilimajaro. |
Na Dixon Busagaga wa Globu
ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment