Sunday, August 10, 2014

AZANIA BANK ILIVYOSHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE JIJINI ARUSHA

Afisa Masoko wa Kanda ya kaskazini wa Benki ya Azania ,Bhoke Makore akizungumza na baadhi ya wananfunzi waliotembelea banda la Azania Benki katika maonesho ya Nane nane kanda ya ksakazini yaliyofanyika katika viwanja vya Themi jijini Arusha.
Mmoja wa Staff wa Azania Bank tawi la Arusha Jovin Joseph  akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa wateja waliotembelea banda la Bank hiyo katika viwanja vya Nane nane.
Afisa Masoko wa Kanda ya kaskazini wa Benki ya Azania ,Bhoke Makore akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo walipotembelea banda la Azania Benki katika maonesho ya Nane nane kanda ya ksakazini yaliyofanyika katika viwanja vya Themi jijini Arusha.
Staff wa Azania Bank tawi la Arusha Jovin Joseph  akigawa kipeperushi kwa mmoja wa wazee waliopita katika Banda la Azania Bank kutaka kupata ufafanuzi wa masuala mbalimbali yahusuyo maswala ya kibenki.
Afisa Masoko wa Kanda ya kaskazini wa Benki ya Azania ,Bhoke Makore akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo walipotembelea banda la Azania Bank  katika maonesho ya Nane nane kanda ya ksakazini yaliyofanyika katika viwanja vya Themi jijini Arusha.
Wateja mbalimbali walimiminika katika banda hilo.
Afisa Masoko wa Kanda ya kaskazini wa Benki ya Azania ,Bhoke Makore akizungumza na mmoja wa watoto waliofika katika banda la Azania Benki katika maonesho ya Nane nane kanda ya ksakazini yaliyofanyika katika viwanja vya Themi jijini Arusha.Anaye ongea na simu ni mama mzazi wa mtoto huyo muda mfupi baada ya kupatiwa maelezo juu ya kufungua akaunti kwa ajili ya watoto.
Wafugaji wa jamii ya Masai pia walikuwa ni miongoni mwa baadhi ya wateja waliotembelea Banda la Azania Bank na hapa walikuwa wakipata maelezo toka kwa mmoja wa Staff wa Benki hiyo Jovin Joseph.
Shughuli za ufunguaji wa Akaunti zilifanyika pia na hapa mmoja wa wateja wa Benki hiyo Emanuel  Khambay akiweka alama ya kidole katika moja ya fomu zake za kufungua akaunti ,zoezi hilo likishuhudiwa na Afisa Masoko wa Azania Bank kanda ya Kasikazini Bhoke Makore.
Afisa Masoko wa Azania Bank kanda ya kaskazini Bhoke Makore akifurahia jambo muda mfupi baada ya kumkabidhi zawadi mteja Emanuel Khambay baada ya kufungua akaunti  katika benki hiyo.Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii,Kanda ya kaskazini.

No comments: