Waziri wa Ujenzi Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli leo amefungua Mradi wa Taa za kuongozea Magari katika mji wa Dodoma.Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng.Musa Ibrahim Iyombe Mradi huo ambao umefanywa na wakandarasi Wazawa umegarimu shilingi Milioni 384.Mataa yaliyozinduliwa leo ni yaliyopo ANJIA PANDA ya Barabara ya Nyerere na Mpwapwa na yale yaliyopo njia panda ya Barabara ya Area D na barabara ya kuelekea Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Rehema Nchimbi kulia akimkaribisha Waziri wa Ujenzi,Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli Kufungua Mradi wa Taa za kuongozea Magari Mjini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi,Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Mradi wa Taa za kuongozea Magari Mjini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi,Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akifunguwa pazia la jiwe la msini wakati wa kufungua Mradi wa Taa za kuongozea Magari Mjini Dodoma.
Mkuu wa Mkoa akimpongeza Waziri Magufuli
Magari yakipita katika mataa mara baada ya Waziri wa Ujenzi,Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli Kufungua Mradi wa Taa za kuongozea Magari Mjini Dodoma katika makutano ya barabara ya Nyerere na Mpwapwa.
|
Vikundi vya ngoma na nyimbo kutoka JKT Makutopora vikitoa burudani wakati Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli akizindua mradi wa mataa ya kuongozea magari mjini Dodoma.(Mhe.Maguguli ambaye alipitia JKT Makutopora amewazawadia Shilingi laki tatu baada ya kuvutiwa na burudani ya vikundi hivyo.
Vikundi vya ngoma na nyimbo kutoka JKT Makutopora vikitoa burudani wakati Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli akizindua mradi wa mataa ya kuongozea magari mjini Dodoma.(Mhe.Maguguli ambaye alipitia JKT Makutopora amewazawadia Shilingi laki tatu Baada ya kuvutiwa na burudani ya vikundi hivyo.
Ngoma
Kwaya
Baadhi ya wakazi wa Dodoma waliojitokeza kushuhudia Ufunguzi wa Mradi wa Mataa ya kuongozea magari Barabarani Mjini Dodoma.
Baadhi ya wakazi wa Dodoma waliojitokeza kushuhudia Ufunguzi wa Mradi wa Mataa ya kuongozea magari Barabarani Mjini Dodoma.
Baadhi ya wakazi wa Dodoma waliojitokeza kushuhudia Ufunguzi wa Mradi wa Mataa ya kuongozea magari Barabarani Mjini Dodoma.
Add caption |
Baadhi ya wakazi wa Dodoma waliojitokeza kushuhudia Ufunguzi wa Mradi wa Mataa ya kuongozea magari Barabarani Mjini Dodoma.
SEHEMU
YA WAKAZI WA MANYONI MJINI WALIOKUSANYIKA KUMSILIZA WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI
AKIWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA BARABARA YA MANYONI MJINI
WAZIRI
WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKIWA PAMOJA NA MKUU WA MKOA WA SINGIDA DKT. PARASEKO
KONE WA KWANZA KUSHOTO, MHE. JOHN CHILIGATI MBUNGE WA MANYONI PAMOJA NA
MWENYEKITI WA WENYEVITI WA CCM MGANA MSINDAI
WAZIRI
WA UJENZI DKT.JOHN MAGUFULI KATIKATI AKIKATA UTEPE KUASHIRIA KUZINDUA UJENZI WA
BARABARA YA MANYONI MJINI YENYE UREFU WA KILOMITA NNE
WAZIRI
WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKIWA PAMOJA NA MKUU WA MKOA WA SINGIDA
DKT.PARASEKO KONE, MBUNGE WA MANYONI JOHN CHILIGATI PAMOJA NA MWENYEKITI WA WENYEVITI
WA CCM MGANA MSINDAI WAKIFUNGUA JIWE LA MSINGI KUASHIRIA UJENZI WA BARABARA
HIYO.
WAZIRI
WA UJENZI DKT.JOHN MAGUFULI AKISALIMIANA NA MZEE ANAYEISHI MANYONI MJINI
ALIYEFURAHISHWA NA KAZI HIZO ZA UJENZI
WAZIRI
WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKIPIGA NGOMA HUKU WAKINA MAMA WA KIKUNDI CHA
NGOMA CHA MANYONI WAKICHEZA KUFURAHIA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI KATIKA BARABARA
YA MANYONI MJINI.
No comments:
Post a Comment