Mjiolojia Mkuu kutoka Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) Bw. Momburi Philip akitoa elimu kwa mwananchi aliyetembelea banda hilo.
Mchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini Nchini (TMAA) Bw. Omary Rwakyaya akitoa maelezo jinsi wakala huo unavyokagua migodi mikubwa ya madini kwa mwananchi aliyetembelea banda la wakala huo
Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini Bi. Mwanaidi Ghasia na Sijaona Madicah wakitoa huduma kwa wananchi waliotembelea banda hilo
Mtaalamu kutoka Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) Mhandisi Henry Wabanhu akitoa maelezo jinsi mtambo wa kufua umeme kwa maji unavyofanya kazi
Mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Wizara ya Nishati na Madini akitoa maoni yake
Mtaalamu kutoka Tanzania Gemmological Centre (TGC) Bw. Prosper Tingo akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la TANSORT
Baadhi ya washiriki kutoka Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) na kampuni ya Max- Malipo wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa maonesho
Mjiolojia kutoka Idara ya Nishati Bw. Habass Ng’ulilapi akielezea sera ya nishati kwa wananchi waliotembelea banda la Wizara
No comments:
Post a Comment