Sunday, July 27, 2014

WASHIRIKI WA WARSHA YA MASHIRIKIANO BAINA YA TANAPA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI

Bwawa la Viboko katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi.
Mkuu wa Upelelezi mkoa wa Kilimanjaro Ramadhan Ng'anzi akichukua Taswira katika bwawa la Viboko.

Baadhi ya Washiriki wa Warsha wakifurahia Mandhari tofauti katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi.
Sehemu ya Bwawa la Viboko lililopo katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi.
Baadhi ya Wanahabari wapata Taswira katika Bwawa la Viboko katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi.
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi ,Datomax Selanyika akitoa taarifa ya Hifadhi hiyo kwa  Washiriki wa Warsha ya Mashirikiano baina ya TANAPA na Vyombo vya Ulinzi na Usalama walipotembelea Hifadhi hiyo.
Baadhi ya Washiriki wakifuatlia kwa makini taarifa ya Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi ,Datomax Selanyika aliyotoa wakati  Washiriki wa Warsha ya Mashirikiano baina ya TANAPA na Vyombo vya Ulinzi na Usalama walipotembelea Hifadhi hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Elias Tarimo akitoa neno la shukurani mara baada ya Washiriki wa Warsha ya Mashirikiano baina ya TANAPA na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Mikumi.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini aliyeko Morogoro.

No comments: