|
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahamoud Mgimwa (wa pili toka kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mkuu Hifadhi za Taifa,Allan Kijazi (mwanzo kushoto),wengine ni Kaimu Mkuu wa Idara ya Wanyamapori, Paul Sarakikya na mwisho kabisa kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Elias Tarimo wakati wa kufunga Warsha ya Mashirikiano baina ya Hifadhi za Taifa,(TANAPA) na Vyombo vya Ulinzi na Usalama. |
|
Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa ,TANAPA,Pascal Shelutete akifanya utamburisho kwa washiriki wa Warsha hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Nashera Mkoani Morogoro.
|
|
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,TANAPA ,Allan Kijazi akizungumza neno kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mahamoud Mgimwa kwa ajili ya kutoa hotuba na kisha kufunga warsha hiyo. |
|
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahamoud Mgimwa akitoa hotuba yake ya kufunga Warsha ya Mashirikiano baina ya Hifadhi za Taifa,(TANAPA) na Vyombo vya Ulinzi na Usalama.
|
|
Mmoja wa washiriki katika Warsha hiyo,Emily Kisamo akichukua taswira wakati Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii akitoa hotuba yake. |
|
Baadhi ya Washiriki wakifuatilia kwa karibu hotuba ya ufungaji wa Warsha hiyo iliyotolewa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mahamoud Mgimwa. |
|
Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Maliasli na Utalii ,Mahamoud Mgimwa muda mfupi baada ya kufunga Warsha hiyo. |
|
Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa,Pascal Shelutete akiongea jambo na Mkurugenzi wa Hifadhi na Ikolojia wa TANAPA,Martin Loibook muda mfupi baada ya kufungwa kwa Warsha ya Mashirikiano baina ya Hifadhi za Taifa,(TANAPA) n Vyombo vya Ulinzi na Usalama. |
|
Mkurugenzi Mkuu TANAPA,Allan Kijazi akizungumza jambo na Wahifadhi wakuu muda mfupi baada ya kumalizika kwa Warsha hiyo. |
|
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mahamoud Mgimwa akizungumza na Mwandishi wa habari wa kituo cha ITV ,Vedasto Msungu baada ya kufunga Warsha ya ya Mashirikiano baina ya Hifadhi za Taifa,(TANAPA) n Vyombo vya Ulinzi na Usalama. |
|
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mahamoud Mgimwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Said Amanzi baada ya kufunga Warsha ya ya Mashirikiano baina ya Hifadhi za Taifa,(TANAPA) n Vyombo vya Ulinzi na Usalama. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini aliyeko Morogoro.
No comments:
Post a Comment