Banda la NSSF linavyoonekana kwa nje.
Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dk. Ramadhani Dau wakati alipotembelea banda la NSSF. Kutoka kushoto ni Abeid, Zhulkifir na Thamrat Dau.
Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Shirika
la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Julius Nyamuhokya kuhusu mradi mkubwa wa
ujenzi wa mji wa kisasa unaojulikana
kwa jina la Dege Eco Village utakaokuwa na
nyumba za kuishi 7000 katika eneo la
Dege Kigamboni jijini Dar es Salaam, mradi huo unatekelezwa kati ya NSSF kwa
ushirikiano na kampuni ya Azimio. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
ya NSSF, Abubakar Rajabu na wa pili kushoto
ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdalah kigoda. Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Mwenyekiti wa bodi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NSSF, Abubakar Rajabu wakati akipata maelezo ya ujenzi wa mji wa kisasa unaojulikana kama DEGE ECO VILLAGE.Mhandisi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Julius Nyamuhokya akielezea mradi mkubwa wa ujenzi wa mji wa kisasa unaojulikana kwa jina la DEGE ECO VILLAGE utakaokuwa na nyumba za kuishi 7000 katika eneo la Dege Kigamboni jijini Dar es Salaam, mradi huo ni ushirikiano kati ya NSSF na Kampuni ya Azimio.Rais Kikwete akionysha kufurahishwa na maelezo ya ujenzi wa mradi wa DEGE ECO VILLAGE. Mkurugenzi wa Kampuni ya Azimio, Mohammed Ikbal akifafanua jambo kuhusu ujenzi wa nyumba hizo. Kampuni ya azimio inashirikiana na NSSF katika mradi wa ujenzi wa mji wa Kisasa unaojulikana kwa jina la DEGE ECO VILLAFE uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Ofisa Uhusiano wa NSSF, Said Mohammed akiwahudumia watu waliofika katika banda la NSSF.Ofisa Uendeshaji Mwandamizi wa NSSF, Salim Khalfan akiwahudumia watu waliofika katika banda la NSSF.Baadhi ya watu waliofika katika banda la NSSF wakipata ufafanuzi kuhusu Madini Scheme, Wakulima Scheme na Hiari Scheme.Ofisa wa NSSF, Norah Mwidunda kigawa madaftari kwa watoto waliotembelea banda la NSSF.
No comments:
Post a Comment