Jamani Watanzania wenzangu nimesikitishwa timu ya Libe na kampeni zake za uchochezi,uongo na kashfa juu yangu mimi Idd Sandaly. Najua Watanzania wenzangu tupo pamoja tangia mliponichagua kuwa Rais wa Jumuiya ya DMV na nashukuru sana kwa ukaribu na ushirikiano mnaoendelea kunipa. Kashfa, uongo wa kutunga bila hata kumuogopa Mungu kutoka upande wa kambi ya Libe si kwamba zinanichafulia jina bali nimezileta hapa leo mjionee wenyewe kwani nyie ndio wapiga kura na nani mnayemtaka awe Rais wenu ni chaguo lenu. Mimi tayari mmeisha fahamu kazi yangu tangia nilipokuwa TAMCO na kwa jinsi ya ufanisi wangu TAMCO baadhi ya Watanzania na marafiki zangu walinishauri nigombee Urais wa Jumuiya ya Watanzania DMV.
Leo ndugu zangu wa Jumuiya nimeleta baadhi ya text zao walizoandika juu yangu ili mjionee wenyewe uongozi wa Libe ni wa aina gani. Kama mnakumbuka wakati wa uchaguzi uliopita tulikua mimi na dada yetu Loveness lakini dada yetu alipingwa kwa sababu ya hawakutaka kuiingiza CCM kuongoza Jumuiya na wengi wao wakanipigia kura. Na baada ya kuona mimi chama changu ni Jumuiya na Wananchi wangu hakaanza kashfa za hapa na pale za kuniita majina mbalimbali yakiwemo mimi kazi yangu kuuza sura Ubalozini na kwa viongozi wa Kitaifa. Watanzania wenzagu wa DMV uamuzi wa kumchagua kiongozi mnayemuana anafaa ni wenu nyie na kamwe sitakubali kuona jumuiya yetu inaingizwa kwenye udini na vyama vya siasa kwa sababu vyama hizi ndivyo vilikua namba moja kuvunja umoja wa Jumuiya yetu waliweka masilahi ya vyama vyao mbele kuliko Jumuiya. Leo ngoja niishie hapo na bofya soma zaidi ujionee mwenyewe Kashfa, uongo na chuki wanazonijengea zaidi yangu.This is too much for me I know I deserve better for what I have done for the community
------------------------------------
------------------------------------
Jamani; we belong together right? Kwa madudu haya ya idi sandaly aliyoyafanya na ushahidi mzito against him je kama idi angekua jina lake ni john paul mngeweza kweli hata kumpigia kampeni?
Hata ingekua idi sandaly anashindana na mtu anaitwa Mohamed juma kweli mngem support na record hizi?
Londa, watu wamebukua kaka na hii kampeni is not even in bongo's level. Manase is just doing what we call slippery slope if you know logic thang
ZUMA SANA
idd anatoa picha za kuipa timu jezi sio kweli. Jezi bado anazimiliki yeye na team imekuwa kwenye league this year hajaleta hizo jezi. Anazo kwake
Pia hizo jezi alitoa kwaajili ya campaign baada ya muda wake kuisha mwezi wa nne. Aliitupa team
Mh idi sandaly, naomba utufahamishe kuhusu hela ya hili suala la dual citizenship. Kama wewe hukutoa hata cent moja ya mchango sasa why kwa nini?
1) ulichuchukua dollar 700 katika ile hela na kumtumia mtu mwenye pHd ili aandike paper ya kushawishi wabunge wa bunge la katiba hata bila kushirikisha wachangaji?
2) kwa nini hiyo hela ya michango ya dual citizenship iko kwenye bank account yako binafsi?
3) kama watu wameshakustukia nyendo zako zenye uwalakini, watafanya je kurudishiwa hela yao maana rogercash kauzera alipokubana kuhusu hii scam ukaishia kumwita " stupit"...Naomba jibu Mh prezida
Je, ni kweli ex-president ameshikilia dual citizenship fund kwenye account yake? Kuna ukweli juu ya hili? Naamini yupo na anasikia haya, kama ni kweli Iddi ana serious case to answer. As a wise leader nimekuwa nikimwambia anawajibu wa kujibu all allegations ili kuweka records straight. Ukimya wamaanisha otherwise. We're at the bottom of this issue to know the truth.
Is it true amespend people's donations without their knowledge???😳😳😳 Serois, if the answer is YES, this crime can land him in jail. Hii si utani, please let him know this and come out clean kabla matter turns into worse.☝
Seros = serious
JB you are right.
Facts check kutoka kwa reliable source, Iddi hakumpa pole mfiwa mkononi na wala Jina lake halimo kwenye daftari
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT IDI SANDALY LEADERSHIP FOR THE PAST 2 YEARS.
Jamani kampeni ya idi imekuwa ni juu ya misiba tu na si kusaidia wagonjwa na kwa lugha nyepesi ni "is all about aftermath and not prevention".
In 2 years in office, idi sandaly done nothing to recruit new members and he ended up with only 9 active members.
The community bank Account red $1800 last year.
WASTADI has failed and as i speak no one is involved with this business anymore and for those who tried to contact idi sandaly to submit their complains about malfunction of this program, he told them to contact the headquarters themselves.
Idi sandaly never supported our brother erick bahunde fundraising event and instead jumped in last minute when friends of Mr bahunde decided to proceed on their own.
Darasa la kiswahili limekufa kwa sababu halikua na mipango endelevu ama plan B na walimu wake walikwenda Indiana kwa maslahi binafsi na siyo ya Jumuia as a result sasa hivi wanapata deal za kazi za ukalimani mahakamani n.k
Idi sandaly kashindwa kuilinda na kuitetea katiba ya jumuia mfano, uchaguzi ulitakiwa kufanyika tokea mwezi February 2014 kama katiba inavyosema kwamba uchaguzi uitishwe miezi miwili kabla ya muda wa current administration kuisha lakini cha kushangaza mpaka leo hii idi sandaly anatambuloshwa hadi ubalozini kwamba yeye ni raisi wa jumuia.
Viongozi wenzie wote hawataki kufanya naye kazi hata jana kwenye mnuso wa Washington havard club ubalozini alikuwa mwenyewe na wale wale wenzake ambao si viongozi maana kama yeye bado ni raisi basi na wenzake walitakiwa wawepo esp katibu ili achukue minutes za kikao kama ilivyo protocol ya shughuli za kiofisi pia huo ni ushahidi wa udikteta wa idi kutoshirikiana na wenzie kwenye uongozi ndo maana viongozi wengine wote wamemsusia na hawangombei kwa sababu ni mbinafsi ambaye anafanya kila kazi mwenyewe mfano, kuandaa mahesabu ya jumuia si kazi yake, kuna treasurer wa jumuia.
Idi sandaly anafanya madeal binafsi kwa mgongo wa jumuia mfano mialiko ya viongozi wa kitaifa kama raisi msitaafu Mzee Aly H. Mwinyi na naibu waziri wa scince Mh January Makamba ni moja ya mifano ambao walikuja kwenye shughuli si za jumuia lakini mgongo wa jumuia ndo ulitumika kufanikisha hili kwa pesa ya walipa kodi.
Idi sandaly alimtunuku Fazil Londa award ya mchango kwenye jumuia lakini tumefuatilia tukapata majibu pasipo na shaka kwamba fazil Londa hata hajawahi kuwa mwanachama hai ama mfu ever sasa ilikuwa je apatiwe tunu? Kama si upendeleo na ubaguzi unaofanywa na idi sandaly?
Kampeni ya idi sandaly inaongelea misiba kama ni sifa kubwa kwake na misiba hata wakati jumuia ilikuwa imekufa hakuna mtanzania hapa dmv alizikwa na halmashauri ya mji, ni utamaduni wetu sote watanzania kuzikana na hili liko wazi. Kitu cha kushangaza ni kwamba tumefuatilia misiba zaidi ya mitano iliyotokea hapa dmv na tuna ushahidi pasipo na shaka kwamba idi sandaly huwa akihudhuria daftari la rambi rambi ni adui wake kwa maneno mengine ni kwamba hajawahi kutoa michango kwa mfiwa/mfu kazi yake kubwa ni kuuza sura tu na msosi. Mfano wenywe Msiba wa Alex, (nimepata idhini toka kwa Alex mwenyewe kusema hili) alex amesema na ame double check vitabu vyake hajaona jina la idi sandaly akitoa mchango wa rambi rambi kama ilivyo kawaida yetu.
Pia, Jabil jongo aliwezesha Msiba wa dada yetu Zainabu (r.i.p zay B) lakini same story idi sandaly came with empty handed, nothing. Zero $$ 0.00
P.s; ile misiba mingine wahusika wameomba privacy lakini wakaahidi kwamba kama idi atabisha kwamba alitoa michango ya rambi rambi basi watamuumbua.
Pia kuhusu shughuli ya Eric bahunde bado tuna review video tape kuangalia Kama idi sandaly alitoa mchango wake.
"Team Libe on offense"
No comments:
Post a Comment