Katibu wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe Hamis Kassapa akipokea cheti cha kushiriki mafunzo yaliyotolewa na baraza la habari Tanzania MCT kwa waandishi wa habari wa mkoa huo
Mtangazaji Veronica Mtauka wa redio Kitulo FM ya wilayani Makete mkoani Njombe akipokea kwa furaha cheti chake kama mshiriki wa mafunzo hayo
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe Mercy James akikabidhiwa cheti chake
Meneja wa kitucha redio Uplands Fm, Novatus Lyaruu akipokea cheti chake kama mshiriki wa mafunzo hayo
Mtangazaji wa Best FM ya Ludewa mkoani Njombe akipewa cheti chake cha ushiriki wa mafunzo hayo
Mafunzo hayo yaliandaliwa na baraza la habari Tanzania (MCT) kwa kushirikiana na chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe (NPC) yenye lengo la kuwasaidia waandishi hao kuandika habari kwa kufuata weledi wa taaluma hiyo. PICHA ZOTE NA EDWIN MOSHI
No comments:
Post a Comment