![]() |
| Misululu mikubwa wafanyabishara waliokuwa mwenge wakisubiri kupewa vitalu vya kufanyia biashara hapa kituo cha makumbusho muda huu |
![]() |
| Kila mtu anasubiri kwa hamu kupata nafasi ya biashara hapa kituo kipya cha mabasi makumbusho |
![]() |
| wengine wakiwa hawajui hatima yao katika uagwaji wa vitalu vya biashara hapa katika kituo cha daladala makumbusho |
![]() |
| misululu ni mirefu kwa wafanyabiashara hawa waliokuwa ktuo cha mwenge wakisubiri kupata nafasi za kufanyia biashara katika kituo kipya cha hapa makumbusho |
![]() |
| PICHA ZOTE NA FRANCO SINGAILE WA MWANAHARAKATI MZALENDO BLOG |





No comments:
Post a Comment