Saturday, June 21, 2014

SSRA katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Viwanja vya Mnazi Mmoja


Banda la Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), linavyoonekana katika Viwanja vya Mnazi Mmoja kwenye maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, jijini Dar es Salaam.

Ofisa Uhusiano wa SSRA, Agnes Lubuva, akiwapatai maelezo wananchi waliofika kwenye banda la Mamlaka hiyo, kwenye maonesho hayo.

Mgeni rasmi katika ufunguzi wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika (kushoto), akisaini kitabu cha wageni, wakati alipotembelea banda la Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), katika ufunguzi huo. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa SSRA, Agnes Lubuva.
Mgeni rasmi katika ufunguzi wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika (kushoto), akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Uhusiano wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Agnes Lubuva (kulia), alipotembelea banda la mamlaka hiyo, wakati wa ufunguzi maonesho hayo hivi karibuni. 
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, akiwapatia maelezo kuhusu kazi na majukumu ya mamlaka hiyo, baadhi ya wananchi walifika kwenye banda la mamlaka hiyo, katika maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Saalaam jana.



Ofisa Uhusiano wa SSRA, David Lyanga (kulia), akimpatia maelezo mwananchi aliyetembelea kwenye banda la mamlaka hiyo, wakati Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.jana. 
Maofisa Uhusiano wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ally Masaningae (wakwanza kulia) na David Lyanga (wapili kulia), wakitoa zawadi kwa 'wheelcover' kwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Usuluhishi (CMA), Bw. Msigwa, wakati alipotembelea banda la mamlaka hiyo katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.jana. 

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, akiwapatia maelezo kuhusu kazi na majukumu ya mamlaka hiyo, baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Bunge, wakati walipotembelea banda la SSRA katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Dar es Salaam juzi.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, akiwapatia maelezo kuhusu kazi na majukumu ya mamlaka hiyo, baadhi ya wananchi walifika kwenye banda la mamlaka hiyo, katika maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Saalaam jana.
Ofisa Uhusiano wa SSRA, David Lyanga (kulia), akimweleza jambo mwananchi aliyetembelea kwenye banda la mamlaka hiyo, wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana. 

No comments: