Tuesday, June 24, 2014

SHULE YA JAMII YA WAMAASAI WILAYANI HAI YAPIGA MAENDELEO YA KASI

 Siku maalumu ya shule ya msingi ya mchepuo wa kiingereza kwa watoto wa jamii ya Kimaasai iliyopo katika kijiji cha Sanya Stesheni wilayani Hai ya The O'Brien School for the Maasai.  Pichani Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akihutubia wazazi,wanafunzi na wageni waalikwa katika siku ya shule ya The O'Brien School for the Maasai.
 Sehemu ya wageni kutoka nchini Marekani waliohudhuria sherehe za siku ya shule ya msingi ya mchepuo wa kiingereza ya O'Brien ya Hai
 Diwani wa kata ya Kia,Sinyoki Ole Nairuki akiwatambulisha wageni mbalimbali katika sherehe za siku ya shule ya O'Brien
 Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akizungumza na mfadhili wa shule ya O,Brien Bibi Kellie O'Brien
 Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga na mfadhili Bibi Kellie O.Brien wakishuhudia shughuli mbalimbali za siku ya shule ya msingi ya O'Brien.
 Wanafunzi wa shule ya O'Brien wakitoa burudani
 Morani wakitoa burudani
Buruduni mbalimbali za ngomba za asili zikiendelea

No comments: