Sunday, June 15, 2014

Shamra shamra za kupokea wanachama wapya wa CCM ELIMU-UDOM Makao Makuu ya CCM Dodoma

 Wanachuo wa Udom,ambao wamejiunga na CCM wakiwa wamenyoosha mikono juu huku wameshikilia kadi zao wakati wakila kiapo cha utii kwa Chama Cha Mapinduzi Mara baada ya kupokea kadi kutoka kwa Mlezi wa tawi la  CCM-Elimu UDOM -School of Education Mhe.Prof.Mark Mwandosya Na Deusdedit Moshi Mtendaji Mkuu wa Photo Solutions Wawakilishi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati



No comments: