 |
Kikosi cha timu ya soka ya Panone fc ya
Mkoani Kilimanjaro. |
Wachezaji wa timu ya Panone fc ya mkoani Kilimanjaro wakishangilia baada ya kuifunga tmu ya Town Small Boys na kufanikiwa kutinga ligi daraja la kwanza.
Nderemo na shangwe
 |
Furaha ya kutinga daraja la kwanza |
 |
Sapota wa Panone fc mkoani Mbeya
wakishangilia mara baada ya timu hiyo kutinga ligi daraja la
kwanza. |
 |
Mmoja wa wajumbe wa kamati ya ushindi ya
Panone fc Shabani Machivya akishangilia mara baada ya timu yake
kufanikiwa kutinga ligi daraja la kwanza. |
 |
Mashabiki wa timu ya soka ya Panone fc
mkoani Mbeya wakishangilia baada ya timu hiyo kufanikiwa kutinga ligi
daraja la kwanza. |
Na Dixon Busagaga wa Globu
ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment