Wednesday, June 18, 2014

LILY NA DERICK WAMEREMEKA BAADA YA KUPATA KUMUNIO YA KWANZA

 Lily Charles akiwa katika pozi la picha.
 Watoto wakionesha shoo yao ya kuwapongeza Lily na Derick. 
 Lily Charles akisakata  muziki.
 John Charles akikata kiu.
 Pongezi kwa watoto Lily Charles na derick Edward kwa kupata Komunio ya kwanza.
 Derick Edward (kushoto), na Lily Charles wakijiandaa kukata keki.
 Derick Edward na Lily Charles wakikata keki wakati wa sherehe za kuwapongeza baada ya kupata Komunio ya Kwanza. Kushoto ni John Charles akishuhudia.
 Watoto Derick Edward (kushoto), na Lily Charles wakilishana keki wakati wa sherehe ya Kipaimara.
Wageni waalikwa.

 Mtoto, John Charles akiwa amepozi kwa picha.


Lily Charles akipokea kitita cha fedha kutoka kwa bibi yake kama zawadi ya kupata Komunio ya Kwanza.

No comments: