Wednesday, June 4, 2014

DIAMOND ALIVYO WASHA MOTO NEW YORK NEW JERSEY

       Pamona na show kuchelewa kuanza na club kufungwa mapema wakazi wa NY.NJ walipata show kali kutoka kwa mkali huyo wa Bongo Flava


         SECURITY WALIFANYA KAZI KUBWA KUWAZUIA WAKINA DADA WASIMPANDIE











Pamoja na kazi nzuri ya Security Kinadada waliweza kuvamia Stage

No comments: