Friday, May 16, 2014

Waomboleaji wamiminika kumfariji Salva Rweyemamu kwa kufiwa na mwanae

 Balozi wa Tanzania nchini  Afrika ya Kusini Mhe Radhia Msuya akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea jana katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda mfupi. 
 Mkuu wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Mstaafu Mhe Alfred Tibaigana akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea jana katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda mfupi. 
 Mstahiki Meya wa Ilala Jerry Silaa akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea jana katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda mfupi. 
 Jaji wa Mahakama Kuu akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea jana katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda mfupi. 
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mstaafu Mama Mary Chipungahelobaada ya kusaini  kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea jana katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda mfupi. 


 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea jana katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda mfupi. 
 Katibu wa WAMA Bw. Daudi Nasibu baada ya kusaini  kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea jana katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda mfupi. 
 Mfiwa Salva Rweyemamu akipokea pole toka kwa mpiganaji Athumani Hamisi
 Mpiganaji Athumani Hamisi akitoa pole kwa Mama Isabela Salva Rweyemamu
 Mfiwa Salva Rweyemamu akipewa pole na Afande Mstaafu Alfred Tibaigana
 Afande Mstaafu Alfred Tibaigana akibadilishana mawazo na baadhi ya waombolezaji
 Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim akiongewa na mfiwa Bw. Salva Rqweyemamu, Kulia ni Mama Mary Chipungahelo
 Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani kwa baba yake leo
 Bw Salva Rweyemamu na ndugu na marafiki wa karibu wakipokea mwili wa marehemu
 Rafiki wa karibu wa wafiwa  akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea jana katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda mfupi. 
 Salva na mkewe Isabella wakifarijiana baada ya mwili wa mtoto wao kuwasili nyumbani kwao
   Salva akiwa na Rais wa TFF Jamal Malinzi

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka akisani kitabu cha maombolezo
Dkt Gideon Shoo akimuongoza mfiwa nje baada ya kupokea mwili wa marehemu

No comments: