Saturday, May 3, 2014

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO NA MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA KATI YA TANZANIA NA CHINA












Mabalozi wa Rwanda, Uganda na Burundi wakiwasili Ukumbini.





Balozi wa Kenya Mhe. Kinyanjui akiwa na Mhe. Balozi Shimbo pamoja na wenza wao. 
 Mhe. Balozi Mhe. Lt. Gen. (Mstaafu) Abdulrahman Shimbo akimpokea Mgeni Rasmi Mhe. Chen Yuan, Makamu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Taifa la Ushauri wa Kisiasa (National Committee of the Chinese People’s Consultative Conference “CPCC”). 
Balozi Shimbo akiteta na Mgeni rasmi Mhe. Chen Yuan katika chumba cha mapumziko (VIP holding room), kabla ya sherehe kuanza. Kulia ni Mama Shimbo. 
Balozi Mhe. Shimbo na Mama Shimbo wakimwongoza Mgeni Rasmi ukumbi wa Sherehe katika Hoteli ya Kempinski, Beijing. 






No comments: