Saturday, May 31, 2014

DKT. BILAL AZINDUA WIKI YA MAZINGIRA DUNIANI NA MFUKO WA ELIMU WA HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohameed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Mazingira Duniani, wakati alipofika kwenye Kambi ya JKT Ruvu kwa ajili ya kupanda miti ikiwa ni sehemu ya uzinduzi huo, ambapo jumla ya miti 8,000, imeandaliwa kupandwa katika eneo hilo
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti katika eneo la Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa, JKT Ruvu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya mazingira Duniani. jumla ya miti 8,000 inatarajia kupandwa katika eneo hilo.

  Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza, akipanda mti katika eneo la Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa, JKT Ruvu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya mazingira Duniani. jumla ya miti 8,000 inatarajia kupandwa katika eneo hilo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la msingi baada ya kupanda mti katika eneo la Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa, JKT Ruvu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya mazingira Duniani. jumla ya miti 8,000 inatarajia kupandwa katika eneo hilo.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi wa kambi ya JKT Ruvu baada ya kupanda miti.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi walio katika mpango maalum wa kampeni ya upandaji miti hiyo, baada ya kupanda miti.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi walio katika mpango maalum wa kampeni ya upandaji miti hiyo, baada ya kupanda miti.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Milima ya Tao la Mashariki (EAMCEF)baada ya kupanda miti.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya maafisa wa Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT Ruvu, wakati akiondoka eneo hilo baada ya kupanda miti kama ishara ya uzinduzi wa Wiki ya Mazingira Duniani, leo
 Vijana wa JKT wakitoa burudani ya ngoma ya "Msewe" toka Zanzibar
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani, iliyofanyika kwenye Uwanja wa Kibaha Mailimoja le
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Skafu na vijana wa Scout wa mji wa Kibaha, wakati alipowasili kwenye uwanja wa Mailimoja Kobaha, kwa ajili kuzindua Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani, leo
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisimama na viongozi waliokuwa meza kuu kwa ajili ya kupokea maandamano ya wanafunzi wakati wakiingia kwenye uwanja huo leo wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mailimoja Kibaha.
 Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za msingi na Sekondari za mkoa wa Pwani, wakipita mbele ya jukwaa kuu na Mabango yenye ujumbe mbalimbali kuhusu suala zima la elimu, wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani, iliyofanyika kwenye Uwanja wa Kibaha Mailimoja leo
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti cha shukrani, Mbunge wa Jimbo la Kibaha, Silvester Koka, kwa kutambua mchango wake katika kuchangia Mfuko wa Elimu, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani, iliyofanyika leo
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti cha shukrani, mwakilishi wa Kampuni ya Lemita Ltd, Mgeta Mganga,  kwa kutambua mchango wake katika kuchangia Mfuko wa Elim, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani, iliyofanyika leo
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti cha shukrani, mwakilishi wa NSSF, Ummy Lweno,  kwa kutambua mchango wake katika kuchangia Mfuko wa Elimu, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani, iliyofanyika leo 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati akiwasili uwanjani hapo.
Baadhi ya wananchi na wanafunzi wa mji wa Kibaha wakichangia kwa hiyari mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha, wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mailimoja Kibaha. Picha na OMR

No comments: