Katibu wa
CCM, wilaya ya Mwanga, akisoma historia fupi ya Mzee Msuya kabla na
baada ya kujiunga na siasa
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi za CCM wilaya ya Mwanga leo |
Mzee Msuya akitoa
pongezi zake kabla ya kuaga rasmi.
Kundi la wazee wa kimila wakiongozwa na Mzee Kasim Msemo wakimkaribisha Mzee Msuya kijijini |
Mzee Msuya
akiwa amekaa kwenye kiti cha jadi kama ishara ya kurudi rasmi kijijini
baada kutangaza kustaafu siasa
Rais Kikwete
akizungumza na wananchi katika hafla ya kumuaga Mzee Msuya katika
ulingo wa siasa, uliofanyika leo katika ofisi za CCM wilaya ya
Mwanga.
Mamia ya
Wananchi waliokusanyika kushuhudia hafla hiyo
Picha zote na Dixon Busagaga wa
Globu ya Jamii kanda ya kaskazini.
No comments:
Post a Comment