RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI,
MALIASILI NA MAZINGIRA WAKATI
WA BUNGE LA BAJETI
KUANZIA TAREHE 27/04
- 05/05/2014
UKUMBI: BENKI KUU -
MT. MERU
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
WAHUSIKA
|
Jumapili
27/04/2014
|
Kuwasili
Dar es Salaam
|
· Katibu
wa Bunge
·
Wajumbe
|
Jumatatu
28/04/2014
|
Kupitia
taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha
2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
|
· Wajumbe
· Sekretarieti
|
Jumanne
29/04/2014
|
Kupitia
taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha
2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
|
· Wajumbe
· Sekretarieti
|
Jumatano
30/04/2014
|
Kupokea mapendekezo
ya mpango, kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa
2014/2015. (Ukumbi wa Mwl. Nyerere).
|
· Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
· Wizara ya Fedha
·
Tume
ya Mipango
|
Alhamisi 01/05/2014
|
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa
Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira (Fungu 31) kwa Mwaka wa Fedha
2013/2014 na makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
|
·
Wizara ya
Maliasili na Utalii
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Ijumaa
02/05/2014
|
i.
Asubuhi:
Kupokea
na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii
(F. 69) kwa mwaka wa Fedha wa 2013/2014 pamoja na makadirio ya mapato na
matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2014/2015.
|
·
Wizara ya
Maliasili na Utalii
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
ii. Mchana:
Kupokea
na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi (Fungu 48) kwa mwaka wa Fedha wa 2013/2014 pamoja na
Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2014/2015.
|
·
Wizara ya ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
|
Jumamosi 03/05/2014
|
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa
Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (Fungu 48) kwa mwaka
wa fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo
kwa mwaka wa Fedha wa 2014/2015.
|
·
Wizara ya ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumapili 04/05/2014
|
Kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa
Bajeti kwa mwaka wa Fedha wa 2013/2014 na makadirio ya Mapato na Matumizi kwa
mwaka wa Fedha 2014/2015 (Fungu 31) - Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira).
|
·
Ofisi ya Makamu
wa Rais
·
(Mazingira)
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumatatu
05/05/2014
|
Kusafiri kuelekea Dodoma
|
·
Katibu wa Bunge
·
Wajumbe
|
TANBIHI:
·
Vikao vitaanza saa 3:00
asubuhi
·
Chai saa 4:30 asubuhi
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI YABUNGE
YA KILIMO,
MIFUGO
NA MAJI
KUANZIA TAREHE 27/04
- 05/05/2014
UKUMBI: JNICC -
MAFIA
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
WAHUSIKA
|
Jumapili
27/04/2014
|
Kuwasili Dar es salaam
|
·
Katibu wa Bunge
·
Wajumbe
|
Jumatatu
28/04/2014
|
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa
fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumanne
29/4/2014
|
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa
fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumatano
30/4/2014
|
Kupokea na kujadili mapendekezo ya mpango, kiwango na ukomo wa bajeti
ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere).
|
·
Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
·
Wizara ya Fedha
·
Tume ya Mipango
|
Alhamisi
01/05/2014
|
Kupokea Taarifa ya
Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya
Kilimo, Chakula na Ushirika (Fungu 43) kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na
Matumizi kwa mwaka 2014/2015.
|
·
Wajumbe
·
Waziri ya Kilimo,
Chakula na Ushirika
|
Ijumaa
2/05/2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Maji (Fungu 49) kwa
mwaka wa fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka
2014/2015.
|
·
Wajumbe
·
Waziri wa Maji
|
Jumamosi
03/05/2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Maji (Fungu 49) kwa
mwaka wa fedha 2013/2014 Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha
2014/2015.
|
·
Wajumbe
·
Waziri wa Maji
|
Jumapili
04/05/2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo
na Uvuvi (Fungu 99) kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na Madirio ya Mapato na
Matumizi kwa mwaka 2014/2015.
|
·
Wajumbe
·
Waziri wa Mandeleo ya Mifugo na
Uvuvi
|
Jumatatu
5/05/2014
|
Wajumbe
kusafiri kuelekea Dodoma.
|
·
Wote
|
TANBIHI:
·
Vikao vitaanza saa 3:00
asubuhi
·
Chai saa 4:30 asubuhi
RATIBA YA KAZI ZA
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU
KUANZIA TAREHE 27/04
- 09/05/2014
UKUMBI: PHILIP
MARMO
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
WAHUSIKA
|
Jumapili
27/04/2014
|
Kuwasili
Dar es Salaam
|
·
Katibu wa Bunge
·
Wajumbe
|
Jumatatu
28/04/2014
|
Kupitia
taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha
2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
|
|
Jumanne 29/04/2014
|
Kupitia
taarifa za ziara za ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kwa mwaka wa fedha
2013/2014.
|
|
Jumatano
30/04/2014
|
Kupokea na kujadili mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kiwango na ukomo wa bajeti ya
Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere).
|
·
Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
·
Wizara ya Fedha
·
Tume
ya Mipango
|
Alhamisi
01/05/2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Wizara ya Uchukuzi
(Fungu 62) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014.
|
|
Ijumaa
02/04/2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Wizara ya Uchukuzi
(Fungu 62) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014.
|
|
Jumamosi
03/05/2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Wizara ya Ujenzi
(Fungu 98) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014.
|
|
Jumapili 04/05/2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Mawasiliano,
Sayansi na Teknolojia (FUNGU 68) kwa Mwaka kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014.
|
·
Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumatatu
05/05/2014
|
Kusafiri kuelekea Dodoma
|
·
Katibu wa Bunge
·
Wajumbe
|
Jumanne
06/05/2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi
(Fungu 62) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya
Wizara hiyo kwa Mwaka 2014/2015.
|
|
Jumatano
07/05/2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa ya makadiro ya mapato na matumizi ya Bajeti ya Wizara ya
Ujenzi (Fungu 98) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato
na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2014/2015.
|
|
Alhamisi
08/05/2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa ya makadirio ya mapato na matumizi ya Bajeti ya Wizara ya
Ujenzi (Fungu 98) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato
na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2014/2015.
|
|
Ijumaa
09/05/2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa ya makadirio ya mapatona matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na
Teknolojia (FUNGU 68) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya
Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2014/2015.
|
·
Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
TANBIHI:
·
Vikao vitaanza saa 3:00
asubuhi
·
Chai saa 4:30 asubuhi
TANBIHI:
·
Vikao vitaanza
saa 3:00 asubuhi
·
Chai saa 4:30 asubuhi
RATIBA YA KAZI ZA KAMATI YA NISHATI NA MADINI
KUANZIA TAREHE 27/04 –
05/05/2014
UKUMBI: JNICC - MIKUMI
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
WAHUSIKA
|
Jumapili
27/04/2014
|
Kuwasili
Dar es salaam.
|
· Katibu
wa Bunge
· Wajumbe
|
Jumatatu
28/04/2014
|
Kupitia
taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha
2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
|
· Wajumbe
· Sekretarieti
|
Jumanne
29/04/2014
|
Kupitia
taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha
2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
|
· Wajumbe
· Sekretarieti
|
Jumatano
30/04/2014
|
i.
Kupokea
Mapendekezo ya Mpango, kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali (Kanuni ya 97),
katika (Ukumbi wa Mwl. Nyerere).
|
· Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
· Wizara ya Fedha
· Tume ya Mipango
|
ii.
Kupokea na
kujadili taarifa fupi ya Wizara kuhusu fedha za Escrow Account.
|
· Wizara
ya Nishati na Madini
· Watendaji
wakuu waTANESCO
· Wanasheria &Watendaji wa IPTL
· Wajumbe
· Sekretarieti
|
|
Alhamisi
01/05/2014
|
Kupokea na kujadili Taarifa ya Matumizi ya Taasisi
zilizo chini ya Wizara ya Nishati na Madini (Fungu 58) kwa kulinganisha kiasi
cha fedha kilichotumika na Kazi iliyofanyika 2013/2014.
|
· Wizara
ya Nishati na Madini
· Watendaji
wakuu wa Taasisi husika.
· Wajumbe
· Sekretarieti
|
Ijumaa
02/05/2014
|
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa
Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini (Fungu 58) kwa mwaka wa fedha 2013/2014
na Makadirio ya Mapato na matumizi kwa mwaka 2014/2015.
|
· Wizara
ya Nishati na Madini
· Watendaji
wakuu wa Taasisi husika.
· Wajumbe
· Sekretarieti
|
Jumamosi
03/05/2014
|
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa
Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini (Fungu 58) kwa mwaka wa fedha 2013/2014
na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2014/2015.
|
· Wizara
ya Nishati na Madini
· Watendaji
wakuu wa Taasisi husika.
· Wajumbe
· Sekretarieti
|
Jumapili
04/05/2014
|
Majumuisho
|
· Wajumbe
· Sekretarieti
|
Jumatatu
05/05/2014
|
Kusafiri kuelekea Dodoma
|
· Katibu
wa Bunge
· Wajumbe
|
TANBIHI:
·
Vikao vitaanza saa 3:00
asubuhi
·
Chai saa 4:30 asubuhi
RATIBA
YA KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC)
KUJADILI
HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA SERIKALI KUU NA MASHIRIKA YA UMMA
KUANZIA
TAREHE 27/04 – 05/05/2014
UKUMBI:
JUMA A. AKUKWETI
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
WAHUSIKA
|
Jumapili
27/04/2014
|
Kuwasili Dar es Salaam
|
· Katibu wa Bunge
· Wajumbe
|
Jumatatu
28/04/2014
|
Kujadili Taarifa ya Ziara ya Ukaguzi wa
Miradi Mkoa wa Kigoma.
|
· Wajumbe
· CAG
· Msajili wa Hazina (TR)
· Sekretarieti
|
Jumanne
29/04/2014
|
Kujadili Taarifa ya Ziara ya Ukaguzi wa
Miradi Mkoa wa Njombe (Mchuchuma na Liganga)
|
· Wajumbe wa Kamati
· CAG
· Msajili wa Hazina (TR)
· Sekretarieti
|
Jumatano
30/04/2014
|
Kupokea mapendekezo ya
Serikali kuhusu Mpango na ukomo wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2014/2015
(Ukumbi wa Mwl. Nyerere).
|
· Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
· Wizara ya Fedha
· Tume ya Mipango
|
Alhamisi
01/05/2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa ya Msajili wa Hazina (The treasury statement) kwa mwaka
wa fedha unaoishia Juni 30, 2013.
|
·
Msajili wa Hazina
·
Wajumbe
|
Ijumaa
02/05/2014
|
Saa 3:00 Asubuhi
Saa 6:30 Mchana
|
· Wajumbe
· CAG
· Msajili wa Hazina (TR)
· Mkurugenzi Mkuu
SSRA
·
Mwenyekiti wa Bodi na Menejimenti ya NSSF
· Sekretarieti
|
Jumamosi
03/05/2014
|
Saa 3:00 Asubuhi
Saa 6:30 Mchana
|
· Wajumbe
· CAG
· Msajili wa Hazina (TR)
·
Wenyeviti wa Bodi na Menejimenti za LAPF na GEPF
· Sekretarieti ya Kamati
|
Jumapili
04/05/2014
|
Saa
4:30 Asubuhi
Saa 6:30 Mchana
|
· Wajumbe wa Kamati
· CAG
· Msajili wa Hazina (TR)
· Wenyeviti
wa Bodi na Menejimenti za PPF na PSPF
Sekretarieti ya Kamati
|
Jumatatu
05/05/2014
|
Kusafiri kuelekea Dodoma
|
Katibu wa Bunge
|
TANBIHI:
·
Vikao vyote vya asubuhi vitaanza saa 3:00 Asubuhi.
·
Mapumziko ya Chai ni Saa 5:00 Asubuhi.
·
Maafisa Masuuli waepuke kuambatana na Maafisa ambao hawatasaidia katika
kujibu hoja.
·
Vitabu viifikie Kamati siku 3 kabla ya siku ya kikao.
·
Kamati itajadili Hesabu zilizokaguliwa za mafungu mbalimbali
zinazoishia tarehe 30 Juni, 2012.
·
Vifupisho: PAC =
Public Accounts Committee; CAG = Controller and Auditor General.
RATIBA YA KAMATI YA
KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE NA
USHIRIKIANO WA
KIMATAIFA
KUANZIA TAREHE
27/04 – 05/05/2014
UKUMBI: PIUS MSEKWA
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
WAHUSIKA
|
Jumapili
27/04/2014
|
Kuwasili Dar es Salaam
|
·
Katibu wa Bunge
·
Wajumbe
|
Jumatatu
28/04/2014
|
Kupitia Taarifa ya ziara ya
ukaguzi wa Mradi ya Maendeleo, Mradi
Namba 6391
Fungu 34, Kasma 411100 (Maputo).
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumanne
29/04/2014
|
Kupitia Taarifa ya ziara ya
ukaguzi wa Mradi ya Maendeleo, Mradi
Namba 6391
Fungu 34, Kasma 41100 (Paris –
Ufaransa).
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumatano
30/04/2014
|
Kupokea mapendekezo ya
Serikali kuhusu Mpango na ukomo wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2014/2015
(Ukumbi wa Mwl. Nyerere).
|
·
Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
·
Wizara ya Fedha
·
Tume ya Mipango
|
Alhamisi
1/05/2014
|
Kupokea na kujadili Taarifa ya
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (Fungu 34) kuhusu
utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 pamoja na makadirio ya
Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa fedha 2014/2015.
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Mambo
ya Nje
·
Sekeretariet
|
Ijumaa
2/05/2014
|
Kupokea na kujadili Taarifa ya
Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki (Fungu 97) kuhusu utekelezaji wa
Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 pamoja na makadirio ya Mapato na Matumizi
ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa fedha 2014/2015.
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Afrika
ya Mashariki
·
Sekeretarieti
|
Jumamosi
3/05/2014
|
Kumalizia
kazi ya Kupokea na kujadili Taarifa ya
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (Fungu 34) kuhusu utekelezaji
wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 pamoja na makadirio ya Mapato na
Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa fedha 2014/2015.
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Mambo
ya Nje
·
Sekeretariet
|
Jumapili
4/05/2014
|
Kumalizia
Kazi ya Kupokea na kujadili Taarifa ya
Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki (Fungu 97) kuhusu utekelezaji wa
Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 pamoja na makadirio ya Mapato na Matumizi
ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa fedha 2014/2015.
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Afrika
ya Mashariki
·
Sekeretarieti
|
TANBIHI:
·
Vikao vitaanza saa 3:00
asubuhi
·
Chai saa 4:30 asubuhi
RATIBA YA KAZI ZA
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA
HUDUMA ZA JAMII
KUANZIA TAREHE
27/04 - 05/05/2014
UKUMBI: BENKI KUU
BANQUET SECTION-I
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
WAHUSIKA
|
Jumapili
27/04/2014
|
Kuwasili Dar es
Salaam
|
|
Jumatatu
28/04/2014
|
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa
fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumanne
29/4/2014
|
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa
fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumatano
30/4/2014
|
Kupokea mapendekezo ya mpango, kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali
kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015. (Ukumbi wa Mwl. Nyerere).
|
· Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
· Wizara ya Fedha
· Tume ya Mipango
|
Alhamisi
01/05/2014
|
Kupokea na
kujadili Taarifa ya utekelezaji wa malengo ya bajeti ya Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii kwa Mwaka wa Fedha wa 2013/2014.
|
·
Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii
·
Wajumbe
|
Ijumaa
02/05/2014
|
Kupokea na
kujadili makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
kwa Mwaka wa Fedha wa 2014/2015.
|
·
Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii
·
Wajumbe
|
Jumamosi
03/05/2014
|
Kupokea na
kujadili Taarifa ya utekelezaji wa malengo ya bajeti ya Wizara ya Elimu na
Mafunzo ya Ufundi kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014.
|
·
Wizara ya Elimu
na Mafunzo ya Ufundi
·
Wajumbe
|
Jumapili
04/05/2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa malengo ya bajeti ya Wizara ya Elimu na
Mafunzo ya Ufundi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
|
· Wizara
ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
· Wajumbe
|
Jumatatu
05/05/2014
|
Kusafiri kuelekea Dodoma
|
· Wajumbe
· Katibu
wa Bunge
|
TANBIHI:
·
Vikao vitaanza saa 3:00
asubuhi
·
Chai saa 4:30 asubuhi
RATIBA YA KAMATI YA
BUNGE YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
KUANZIA TAREHE 27/04
- 05/05/2014
UKUMBI: JNICC -
MIKUMI
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI/MAHALI
|
WAHUSIKA
|
Ijumaa
25/04/
2014
|
Kuwasili Dar es Salaam
|
·
Katibu
wa Bunge
·
Wajumbe
|
Jumamosi
26/04/
2014
|
Kuhudhuria
Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Uwanja wa
Taifa, Dar es Salaam)
|
·
Wajumbe
|
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa
Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Fungu
56) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014
pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa Mwaka wa Fedha
2014/2015.
|
·
Wajumbe
·
WN OWM
(TAMISEMI)
·
Mikoa
yote Wajumbe
|
|
Jumapili
27/04/
2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014
pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka
kwa mikoa ifuatayo:-
1.
Mkoa
wa Tanga – Fungu 86
2.
Mkoa
wa Dodoma – Fungu 72
3.
Mkoa
wa Rukwa – Fungu 89
4.
Mkoa
wa Mara – Fungu 77
|
·
Wajumbe
·
WN OWM
(TAMISEMI)
·
RC
TANGA
·
RC
DODOMA
·
RC
RUKWA
·
RC
MARA
|
Jumatatu
28/04/
2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014
pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka
kwa mikoa ifuatayo:-
1.
Mkoa
wa Mbeya – Fungu 78
2.
Mkoa
wa Singida – Fungu 84
3.
Mkoa
wa Geita – Fungu 63
4.
Mkoa
wa Shinyanga – Fungu 83
|
·
Wajumbe
·
WN OWM
(TAMISEMI)
·
RC
MBEYA
·
RC
SINGIDA
·
RC
GEITA
·
RC
SHINYANGA
|
Jumanne
29/04/
2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014
pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka
kwa mikoa ifuatayo:-
1.
Mkoa
wa Arusha – Fungu 70
2.
Mkoa
wa Simiyu – Fungu 47
3.
Mkoa
wa Kagera – Fungu 87
4.
Mkoa
wa Mtwara – Fungu 80
|
·
Wajumbe
·
WN OWM
(TAMISEMI)
·
RC
ARUSHA
·
RC
SIMIYU
·
RC
KAGERA
·
RC
MTWARA
|
Jumatano
30/04/
2014
|
A.
Kupokea mapendekezo ya mpango, kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali
kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere)
|
·
Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
·
Wizara ya Fedha
·
Tume ya Mipango
|
1.
Mkoa
wa Kigoma – Fungu 74
2.
Mkoa
wa Manyara – Fungu 95
|
·
Wajumbe
·
WN OWM
(TAMISEMI)
·
RC
KIGOMA
·
RC MANYARA
|
|
Alhamisi
01/05/2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014
pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka
kwa mikoa ifuatayo:-
1.
Mkoa
wa Dar es Salaam – Fungu 88
2.
Mkoa
wa Iringa – Fungu 73
3.
Mkoa
wa Lindi– Fungu 76
4.
Mkoa
wa Tabora – Fungu 85
|
·
Wajumbe
·
WN OWM
(TAMISEMI)
·
RC DAR
ES SALAAM
·
RC
IRINGA
·
RC
LINDI
·
RC
TABORA
|
Ijumaa
02/05/2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014
pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka
kwa mikoa ifuatayo:-
1.
Mkoa
wa Morogoro – Fungu 79
2.
Mkoa
wa Katavi – Fungu 36
3.
Mkoa
wa Pwani– Fungu 71
|
·
Wajumbe
·
WN OWM
(TAMISEMI)
·
RC
MOROGORO
·
RC
KATAVI
·
RC
PWANI
|
Jumamosi
03/05/2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014
pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka kwa mikoa ifuatayo:-
1.
Mkoa
wa Mwanza – Fungu 81
2.
Mkoa
wa Kilimanjaro – Fungu 75
3.
Mkoa
wa Njombe – Fungu 54
4.
Mkoa
wa Ruvuma – Fungu 82
|
·
Wajumbe
·
WN OWM
(TAMISEMI)
·
RC
MWANZA
·
RC
KILIMANJARO
·
RC
NJOMBE
·
RC
RUVUMA
|
Jumapili
04/05/2014
|
Majumuisho
pamoja na kujadili Taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya Fungu 56 - Ofisi ya Waziri Mkuu
(Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na
Matumizi ya Ofisi hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015
|
·
Wajumbe
·
WN OWM
(TAMISEMI)
·
Mikoa
yote
|
Jumatatu
05/05/2014
|
Kusafiri
kuelekea Dodoma
|
·
Katibu wa Bunge
·
Wajumbe
|
TANBIHI:
·
Vikao vitaanza saa 3:00
asubuhi
·
Chai saa 4:30 asubuhi
RATIBA YA KAMATI YA
KUDUMU YA BUNGE YA KATIBA,
SHERIA NA UTAWALA
KUANZIA TAREHE
27/04 – 05/04/2014
UKUMBI: MKWAWA
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
WAHUSIKA
|
Jumapili
27/04/2014
|
Kuwasili Dar es salaam
|
·
Katibu wa Bunge
·
Wajumbe
|
Jumatatu
28/04/2014
|
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa
fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumanne
29/4/2014
|
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa
fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumatano
30/4/2014
|
Kupokea mapendekezo ya mpango, kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali
kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015. (Ukumbi wa Mwl. Nyerere).
|
· Wabunge wote wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
· Wizara ya Fedha
·
Tume ya Mipango
|
Alhamisi
01/05/2014
|
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji Bajeti kwa mwaka wa fedha
2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015
katika mafungu sita yafuatayo:-
i.
Fungu-66-Tume ya Mipango
ii.
Fungu-30-Ofisi ya Rais na Baraza la Mawaziri
iii.
Fungu-33-Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
iv.
Fungu-32-Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
v.
Fungu -9 –Ofisi ya Rais, Bodi
ya Mishahara na Maslahi kwa Watumishi wa Umma.
|
·
Waziri wa Nchi OR-UB
·
Waziri wa Nchi OR-MUR
·
Wajumbe
|
Ijumaa
02/05/2014
|
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa
fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha
2014/2015 katika mafungu sita yafuatayo:-
i.
Fungu 31-Ofisi ya
Makamu wa Rais – Muungano.
ii.
Fungu 25-Waziri
Mkuu
iii.
Fungu 27-Msajili
wa Vyama vya Siasa
iv.
Fungu 37-Ofisi ya
Waziri Mkuu
v.
Fungu 42-Mfuko wa
Bunge
vi.
Fungu 61- Tume ya
Taifa ya Uchaguzi
|
·
Waziri wa Nchi OR-UB
·
Waziri wa Nchi OR-MUR
·
Wajumbe
·
WN-OWM-SUB
|
Jumamosi
03/05/2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na
makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 kwa mafungu
yafutayo:-
i.
Fungu 41 – Wizara
ya Katiba na Sheria
ii.
Fungu-55-Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
iii.
Fungu 59 – Tume
ya Kurekebisha Sheria
iv.
Fungu 16 – Ofisi
ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
|
·
Waziri wa Katiba na Sheria
·
Wajumbe
|
Jumapili
04/05/2014
|
Kupokea
na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na
makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 kwa mafungu
yafutayo:-
i.
Fungu 8 – Tume ya
Mabadiliko ya Katiba (Taarifa ya utekelezaji wa Bajeti)
ii.
Fungu 35 –
Mkurugenzi wa Mashtaka
iii.
Fungu 40 –
Mahakama ya Tanzania
iv.
Fungu 12 – Tume
ya Utumishi wa Mahakama

RATIBA YA KAMATI YA BAJETI
KUANZIA TAREHE 27/04
– 05/05/2014
UKUMBI: JNICC
UDZUNGWA
SIKU /TAREHE
|
SHUGHULI
|
WAHUSIKA
|
Jumapili
27/04/2014
|
Kuwasili
Dar es Salaam
|
· Katibu
wa Bunge
· Wajumbe
|
Jumatatu
28/04/2014
|
Kuendelea
kujadili Taarifa ya Tathmini ya utekelezaji wa Bajeti ya mwaka 2013/2014 kwa
kipindi cha nusu mwaka (Mid-year
review).
|
·
Waziri wa Fedha
· Wajumbe
|
Jumanne
29
/04/2014
|
Kupokea
na kujadili taarifa ya Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo kwa kipindi cha
nusu mwaka 2013/2014 (Mid-year review).
|
· Ofisi
ya Rais, Tume ya Mipango
· Wajumbe
|
Jumatano 30/04/2014
|
|
·
Wabunge wote wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
·
Wizara ya Fedha
· Tume ya Mipango
|
Alhamisi 1/05/2014
|
Kujadili Mapendekezo ya Serikali kuhusu mpango kwa mwaka wa fedha
2014/2015.
|
· Ofisi
ya Rais, Tume ya Mipango.
· Wajumbe
|
Ijumaa 2/05/2014
|
Kujadili
Mapendekezo ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa Fedha 2014/2015.
|
Wizara
ya Fedha
|
Jumamosi
03/05/2014
|
Kujadili
Mapendekezo ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa Fedha 2014/2015.
|
· Wizara
ya Fedha
· Wajumbe
|
Jumapili
04/05/2014
|
Kupokea
mambo muhimu yaliyojitokeza kwenye Kamati za Kisekta wakati wa kujadili
utekelezaji wa Bajeti za Wizara kwa mwka wa fedha 2014/2015.
|
· Sekretarieti
· Wenyeviti
wa Kamati za Kisekta
|
Jumatatu
05/05/2014
|
Kusafiri kuelekea Dodoma
|
Wote
|
TANBIHI:
·
Vikao vitaanza saa 3:00
asubuhi
·
Chai saa 4:30 asubuhi
RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE
YA UCHUMI,
VIWANDA NA BIASHARA
KUANZIA TAREHE 27/04 – 05/04/2014
UKUMBI: BENKI KUU BANQUET SECTION -
III
TAREHE/SIKU
|
SHUGHULI
ITAKAYOFANYIKA
|
MHUSIKA
|
Jumapili
27/04/2014
|
Kuwasili Dar es Salaam
|
·
Katibu wa Bunge
·
Wajumbe
|
Jumatatu
28/04/2014
|
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa
fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumanne
29/04/2014
|
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa
fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumatano
30/04/2014
|
Kupokea mapendekezo ya Serikali kuhusu Mpango na
ukomo wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere).
|
· Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
· Wizara ya Fedha
· Tume ya Mipango
|
Alhamisi
01/05/2014
|
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya
Fedha (FUNGU 50) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato
na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka
wa Fedha 2014/2015.
|
· Wajumbe
· Wizara ya Fedha
|
Ijumaa
02/05/2014
|
Kupokea na kujdaili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara
ya Fedha (FUNGU 50)
kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na
Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa
Fedha 2014/2015.
|
· Wajumbe
· Wizara ya Fedha
|
Jumamosi
03/05/2014
|
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara
(FUNGU LA 44) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na
Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka
wa Fedha 2014/2015.
|
·
Wajumbe
·
Wizara ya Viwanda na Biashara
|
Jumapili
04/05/2014
|
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji
wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na
Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015
|
·
Wajumbe
·
Ofisi ya Waziri Mkuu(uwekezaji na
·
Uwezeshaji)
|
Jumatatu
05 Mei 2014
|
Kusafiri kuelekea Dodoma
|
·
Wajumbe
·
Katibu wa Bunge
|
TANBIHI:
·
Vikao vitaanza saa 3:00
asubuhi
·
Chai saa 4:30 asubuhi
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI
KUANZIA TAREHE 27/04
- 05/05/2014
UKUMBI: BENKI KUU –
BANQUET SECTION - II
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
ITAKAYOFANYIKA
|
WAHUSIKA
|
Jumapili
27/04/2014
|
Kuwasili
Dar es Salaam
|
|
Jumatatu
28/04/2014
|
Kupata mafunzo kuhusu maambukizi ya UKIMWI na Sheria ya UKIMWI.
|
|
Jumanne 29/04/2014
|
Kupata mafunzo kuhusu Mfuko wa UKIMWI na Sheria ya UKIMWI kwa
kuzingatia makubaliano ya Kimataifa
|
|
Jumatano
30/04/2014
|
Kupokea mapendekezo
ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha
2014/2015.
|
·
Wabunge wote wa
Jamhuri ya
Muungano
wa Tanzania
·
Wizara ya Fedha
·
Tume
ya Mipango
|
Alhamisi
01/05/2014
|
·
Kupokea na
kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI
Tanzania Bara (Fungu 91) na Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za kulevya
(Fungu 92) kwa mwaka wa fedha 2013/2014.
·
Kupokea na kujadili
Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania Bara
(Fungu 91)na Tume ya Kuratibu Udhibiti
wa Dawa za kulevya (Fungu 92) kwa Mwaka wa Fedha wa 2014/2015.
|
·
Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge
·
Sekretariet
·
Wajumbe
|
Ijumaa
02/05/2014
|
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya
maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za
serikali.
|
·
Sekretariet
·
Wajumbe
|
Jumamosi
03/04/2014
|
Semina
kuhusu Mkakati wa kudhibiti UKIMWI na
mapitio ya rasimu ya kitabu cha Wabunge kuhusu afua za UKIMWI.
|
·
Sekretariet
·
Wajumbe
·
Mkurugenzi
Mtendaji Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS)

KAZI ZA KAMATI YA
KUDUMU YA BUNGE YA ULINZI NA USALAMA
KUANZIA TAREHE 28/04
- 04/05/2014
UKUMBI: CHIEF E.
MANG’ENYA
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
WAHUSIKA
|
Jumapili
27/04/2014
|
Kuwasili Dar es salaam
|
·
Katibu wa Bunge
·
Wajumbe
|
Jumatatu
28/04/2014
|
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa
fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumanne
29/4/2014
|
Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa
fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
|
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumatano
30/4/2014
|
Kupokea mapendekezo ya mpango, kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali
kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere)
|
·
Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
·
Wizara ya Fedha
·
Tume ya Mipango
|
Alhamisi 01/05/2014
|
i.
Kupokea Taarifa ya hali ya Ulinzi na Usalama ya Wizara ya Mambo ya
Ndani.
ii.
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa malengo ya Bajeti kwa
mwaka wa fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa 2014/2015
(Fungu 51) Wizara ya Mambo ya Ndani.
|
·
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
· Wajumbe
· Sekretarieti
|
Ijumaa
02/04/2014
|
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa
malengo ya Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na
Matumizi kwa mwaka wa 2014/2015 kwa mafungu mawili:
·
Fungu 14- Kikosi cha Zimamoto
na Uokoaji.
·
Fungu 93-Idara ya Uhamiaji
|
·
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumamosi
03/04/2014
|
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa
Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa
mwaka wa 2014/2015 kwa mafungu mawili:
·
Fungu 28 - Jeshi la Polisi
·
Fungu 29 -Jeshi la Magereza
|
·
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumapili 04/05/2014
|
i.
Kupokea Taarifa ya hali ya Ulinzi na Usalama ya Wizara ya Ulinzi na
JKT.
ii.
Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji Bajeti kwa Mwaka wa Fedha
wa 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2014/2015 kwa
mafungu matatu:-
·
Fungu 38 -Ngome
·
Fungu 39 - JKT
·
Fungu 57 - Wizara ya Ulinzi na
JKT
|
·
Waziri wa Ulinzi na JKT
·
Wajumbe
·
Sekretarieti
|
Jumatatu
05/05/2014
|
Kusafiri kuelekea Dodoma
|
·
Katibu wa Bunge
·
Wajumbe
|
TANBIHI:
·
Vikao vitaanza saa 3:00
asubuhi
·
Chai saa 4:30 asubuhi
RATIBA YA KAZI ZA KAMATI YA LAAC DAR ES SALAAM
KUANZIA TAREHE 27/04 - 05/05/2014
UKUMBI: AUSTIN
SHABA
SIKU
/TAREHE
|
SHUGHULI
|
WAHUSIKA
|
Jumapili
27/4/2014
|
Kuwasili Dar es Salaam
|
Katibu wa Bunge
|
Jumatatu na Jumanne
28-29/04/2014
|
·
Masuala ya Kiutawala
·
Taarifa za ziara zilizotekelezwa na Kamati
|
Katibu wa Bunge
|
Jumatano
30/04/2014
|
Kupokea
Taarifa za Serikali kuhusu Makadirio ya Bajeti.
|
Katibu wa Bunge
|
Alhamisi
01/05/2014
|
Wajumbe
kuwasili Bagamoyo kwa ajili ya mafunzo kuhusu
mchakato wa Ukaguzi wa Hesabu za Serikali za Mitaa.
|
NAOT
|
Ijumaa na
Jumamosi
02-3/05/2014
|
Mafunzo
- Bagamoyo
|
·
Wajumbe
|
Jumapili
04
/05/2014
|
Kuondoka
Bagamoyo
|
·
Wajumbe
|
Jumatatu
05/05/2014
|
Wajumbe
kuelekea Dodoma
|
·
Wajumbe
|
TANBIHI:
·
Vikao vitaanza saa 3:00
asubuhi
·
Chai saa 4:30 asubuhi
RATIBA YA KAMATI YA
KUDUMU YA BUNGE YA
MAENDELEO YA JAMII
KUANZIA TAREHE 27/04
- 05/05/2014
UKUMBI: BENKI KUU -
UDZUNGWA
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
WAHUSIKA
|
Jumapili
27/4/2014
|
Kuwasili Dar es Salaam
|
·
Katibu wa Bunge
·
Wajumbe
|
Jumatatu
28/04/2014
|
Kupitia
taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha
2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
|
· Wajumbe
· Sekretarieti
|
Jumanne
29/04/2014
|
Kupitia
taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha
2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.
|
· Wajumbe
· Sekretarieti
|
Jumatano
30/04/2014
|
Kupokea Mapendekezo ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa bajeti ya
Serikali wa Maendeleo wa Mwaka wa Fedha 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere)
|
· Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
· Wizara ya Fedha
· Tume ya Mipango
|
Alhamisi
01/05/2014
|
Kupokea na kujadili Taarifa ya utekelezaji wa
bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto (Fungu 53) kwa Mwaka
wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo
kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
|
· Wajumbe
· Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
|
Ijumaa
02/05/2014
|
Kupokea na kujadili Taarifa ya utekelezaji wa
bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto (Fungu 53) kwa Mwaka
wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo
kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
|
· Wajumbe
· Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
|
Jumamosi
03/05/2014
|
Kupokea na kujadili utekelezaji wa Bajeti ya
Wizara ya Kazi na Ajira (Fungu 98) kwa
Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara
hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
|
· Wajumbe
· Waziri wa Kazi na Ajira
|
Jumapili
04/05/2014
|
Kupokea na kujadili Taaria ya Utekelezaji wa
bajeti ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (Fungu 96) kwa Mwaka
wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo
kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
|
· Wajumbe
· Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
|
Jumatatu
05/05/2014
|
Kusafiri kuelekea Dodoma.
|
Wote
|
TANBIHI:
·
Vikao vitaanza saa 3:00
asubuhi
·
Chai saa 4:30 asubuhi
No comments:
Post a Comment