Sunday, April 20, 2014

MABONDIA CHEKA, MIYEYUSHO WASHINDWA KUTAMBA; KING CLASS MAWE AMSAMBARATISHA MUSTAFA DOTO

 Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe' kushoto akimwadhibu Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 jijini Dar es salaam King class alishinda kwa pointi mpambano huo 
 Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe' kulia  akiendelea kumwadhibu Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 jijini Dar es salaam King class alishinda kwa pointi mpambano huo 
Bondia Mustafa Dotto kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mpambano wao uliofanyika PTA Sabasaba King Class alishinda kwa Point

  Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe' kushoto akimwadhibu Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 jijini Dar es salaam King class alishinda kwa pointi mpambano huo 
 FURAHA YA USHINDI
 KING CLASS MAWE AKIOJIWA BAADA YA KUIBUKA MSHINDI
 KING CLASS MAWE KATIKATI ALIEKAA AKIWA NA MARAFIKI ZAKE BAADA YA USHINDI
 KING CLASS MAWE KATIKATI ALIEKAA AKIWA NA MARAFIKI ZAKE BAADA YA USHINDI
Bondia Fransic Cheka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde naGavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam mpambano huo uliamliwa kwa droo ya kufungana point

Bondia Francis  Cheka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam mpambano huo uliamliwa kwa droo ya kufungana point 

 Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand kulia akiwa amemkalisha bondia Francis  Miyeyusho katika raundi ya kwanza ya mpambano wa raundi kumi na kushinda kwa K.O. 
Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akijitutumua kupigana na  Bondia SukkasemKietyongyuth  kutoka Thailand  miyeyusho alipigwa raundi ya kwanza bila huruma 

Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akijitutumua kupigana na  Bondia SukkasemKietyongyuth  kutoka Thailand  miyeyusho alipigwa raundi ya kwanza bila huruma 

No comments: