Monday, April 7, 2014

BRIEN HOLDEN YAZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA GHARAMA NAFUU


 Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens Lisakatu (katika) akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa watoa huduma ya kupima macho wakati alipotembelea banda la Ilala Eye Centre
 Rais wa Chama cha Wataalamu wa Macho hapa nchini(TOA) Frank Magupa  (kushoto)akimwelezea  ubora wa miwani ya Kibo Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens Lisakatu  katika hafla ya uzinduzi wa miwani ya Kibo 
 Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika uzinduzi wa miwani aina ya Kibo yenye gaharama nafuu kwa wananchi,sense ya 2012  inaonyesha kuwa mkoa  wa Dar es Salaam,unawakazi zaidi ya Miliono Nne, na takwimu ya zilizotolewa na Mratibu wa Afya wa Dar es Salaam,kuanzia mwaka 2010 hadi 2013 zinaonyesha kuwa jumla ya wananchi 39,863. Wanaishi na ugonjwa wa Macho. Shirika la Holden Vision Institute na Taassisi ya wanaoptometria hivi karibuni walizindua miwani aina ya Kibo ambayo gaharama yake ni nafuu
 Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens Lisakatu akiongea na wananchi waliohufika katika uzinduzi wa miwani ya Kibo

Ofisa Mkazi wa Shirika  la   Brien Holden  Vision Institute  hapa nchini Eden Mashayo ,akiongea kuhusioana na utoaji wa huduma za kupima macho na kupewa miwani  ya Kibo


Wafanyakazi wa Shirika lisilo la kiserikali la Brien Holden  Vision Institute  wakiwa ,katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens .Baada ya kumalizika kwa uzinduzi wa miwani ya Kibo , uliofanyika katika viwanja vya Free Market jijini Dar es Salaam.




No comments: